interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,395
NAKAZIA.Jamani kila ndege na mti aupendao hakuna type ya mwanamke isiyo na soko. Mwanamke sahihi wa kumuoa ni simple girl hao wanene binafsi siwapendi maana hata kutoka out ni shidaaaa. Anatembea kidogo tu hoi na hata kwenye mambo yetu Yale yasiyo na chama wanawake wembamba wanajua na utaenda round nyingi kuliko wanene
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakunaga Miss World/Mrembo wa kidunia mwenye mat*ko na hatatokea kamwe.
Sent using Jamii Forums mobile app