Nawaonea huruma wadada wasio na "mizigo" mikubwa

Hahaha kuna watu wana ugali wao humu ...ohhh ...unashangaa una reply reply content then baadae unaulizwa " Yule hearly mnajua vipi " ........ !!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hahaha hahaha
Hamna banaaa...
Mie sina ugali humu kabisaaa hilo ondoa shaka! Mwenyewe mkulima
 
Si tunaongea hapaaaa...... Hahaha hahaha hahaha nimecheka mnooo! Eti mkuu, hebu hukooo
Haha basi nitaacha sinto kuita mkuu _ kumbe hautaki kuzeeshwa .... lakini madame nilichotaka kukwambia kinahusu nyara za serikali so ziwezi kukianika hapa ..... ila kama umeamua kuni chinjia baharini poa ..... kuanzia leo hauli kwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukuu huo vipi?!
Hizo nyara si umesema huko juu unataka kuona picha yangu kama yaliyomo yamo?!

Usinifanyie hivyo aki, nitaishije kijijini mie, vocha za shida na msosi uninyime?!
 
Haha sasa nikikuomba picha yako utanitumia hapa ....au ndio umeamua kunionea tu mtoto wa mwanamke mwenzio ....

Msosi lazima nikunyime... refer methali ya mwana mkaidi .............

Mimi nakutumia tuu apa naweka emoj kwa uso!

Halafu pm sijui kutuma picha kabisaaa!!
Usininyime chakula bana
 
Hahaha hahaha hahaha
Mimi nakutumia tuu apa naweka emoj kwa uso!

Halafu pm sijui kutuma picha kabisaaa!!
Usininyime chakula bana
Dahh pm " mimi nilikuwa nakuhitaji kwa mambo mengine kabisa nasio ya picture masuala ya picture najua nikiihitaji hata sasa naipata ... maana nina zungukwa na team.kubwa ya mashilawadu ...so nikiwapa kazi baada ya dakika kadhaa napata majibu ..haha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha hahaha hahaha
Mecheka saaaana jamanii, hao mashilawadu watakudanganya jamani!!

Hebu sema uko na shida gani eti, niko siliasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…