Haha wapi wewe ....yaani nidanganywe na watu wote takribani 10 ... maoni Yako yatakuwa hayako sahihi .....Hahaha hahaha hahaha
Mecheka saaaana jamanii, hao mashilawadu watakudanganya jamani!!
Hebu sema uko na shida gani eti, niko siliasi
Mara paaaapHaha wapi wewe ....yaani nidanganywe na watu wote takribani 10 ... maoni Yako yatakuwa hayako sahihi .....
Lol ..kwa hapa siwezi kukwambia hata kama utajaribu kunitishia kuvunja urafiki wetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa wakituma picha tofauti ... nafuta nao urafiki ..Mara paaaap
Kila mtu ana kutumia picha tofauti... Sijui utakufwa?!
Najua hapa huwezi kuniambia ila najua ni zile juhudi zako ulizosema ni zakupata kapicha bana
Hahaha hahahaHahaa wakituma picha tofauti ... nafuta nao urafiki ..
Hapana sababu sio hiyo ...ngoja ibaki kuwa secret issue yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha nife nayo tu . .umeonyesha kutohitaji kuijua...Hahaha hahaha
Eti unafuta urafiki... Kumbe unanijua eeeehhh!!!
Jamani, unakufwa na siri yakoo
Hahaha hahaha hahahaAcha nife nayo tu . .umeonyesha kutohitaji kuijua
Rudia kuisoma ile post tenaHahaha hahaha hahaha
Jamani, usikuwe hivyo bana
Hahaha hahaha hahaha hahahaAcha nife nayo tu . .umeonyesha kutohitaji kuijua...
Nisikujue wewe tena mrembo ...ningekuwa sija yatendea haki macho yangu dhidi ya fahari ya macho
Tayari bana...Rudia kuisoma ile post tena
ahaha niliona bora na mimi nipige kufuli ili tuwe tuwe sale sale mauaHahaha hahaha hahaha hahaha
Nimecheka mnooo jamaniii....
Asa mbona umeniwekea kofuli
Hahaha hahaha hahahaahaha niliona bora na mimi nipige kufuli ili tuwe tuwe sale sale maua
Lol nyau weee sithubutu hata . Vuta subira nikitulia nita unlock then nitakujuza. Now niko tight kidogoHahaha hahaha hahaha
Sawa bwana!! Sasa tuongee apa apa