Nawaonea huruma wadada wasio na "mizigo" mikubwa

Nawaonea huruma wadada wasio na "mizigo" mikubwa

Hahaha hahaha hahaha
Mecheka saaaana jamanii, hao mashilawadu watakudanganya jamani!!

Hebu sema uko na shida gani eti, niko siliasi
Haha wapi wewe ....yaani nidanganywe na watu wote takribani 10 ... maoni Yako yatakuwa hayako sahihi .....

Lol ..kwa hapa siwezi kukwambia hata kama utajaribu kunitishia kuni baka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha wapi wewe ....yaani nidanganywe na watu wote takribani 10 ... maoni Yako yatakuwa hayako sahihi .....

Lol ..kwa hapa siwezi kukwambia hata kama utajaribu kunitishia kuvunja urafiki wetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mara paaaap
Kila mtu ana kutumia picha tofauti... Sijui utakufwa?!

Najua hapa huwezi kuniambia ila najua ni zile juhudi zako ulizosema ni zakupata kapicha bana
 
Mara paaaap
Kila mtu ana kutumia picha tofauti... Sijui utakufwa?!

Najua hapa huwezi kuniambia ila najua ni zile juhudi zako ulizosema ni zakupata kapicha bana
Hahaa wakituma picha tofauti ... nafuta nao urafiki ..

Hapana sababu sio hiyo ...ngoja ibaki kuwa secret issue yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom