Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahahaha, sasa mie nimechochea nn RafikiNa wewe kwa uchochezi jamanii
MTC | 101| [emoji769]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha, sasa mie nimechochea nn RafikiNa wewe kwa uchochezi jamanii
Hapo ulicheka nini eti, nakuunganisha comments?!Hahahaha, sasa mie nimechochea nn Rafiki
MTC | 101| [emoji769]
Hahahaha, ulivyoandika 'tutako'Hapo ulicheka nini eti, nakuunganisha comments?!
Hahaha hahaha hahahaHahahaha, ulivyoandika 'tutako'
MTC | 101| [emoji769]
Hahaha hahaha hahaha
Sababu ni tudogo rafiki
Hahaa Yaani hata mimi unifanyie hivyo ...haki vile nitaandamanaNakutoa mbio kweeli kweeli.... Lol
Sawa rafikiHahahaha, Rafiki acha tu nicheke ,no comments ktk hili
MTC | 101| [emoji769]
We andamana tuu jamani!
Haha hili swali hili ...halistahiki kujibiwa mbele ya halaikiWe andamana tuu jamani!
Unataka kugundua nini eti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haha sio hapa aise ...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nijibu basi
Kujamba kwa sanaKuwa nayo makubwa kuna tabu zake
Weka pichaau nitumie nauli nije ulipo
Jamani jamanii
Hahaha hahaha hahaha
Lol - nikipigwa utani gombelezea !!? Au ndio kwanza utaanza kunisimanga nakuanza kuniambia nisikuharibie ugali wako !?Hahaha hahaha hahaha
Acha bamwagikeee
Kumbe jukwaani huku kuna ugali eeehhh...Lol - nikipigwa utani gombelezea !!? Au ndio kwanza utaanza kunisimanga nakuanza kuniambia nisikuharibie ugali wako !?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha kuna watu wana ugali wao humu ...ohhh ...unashangaa una reply reply content then baadae unaulizwa " Yule hearly mnajua vipi " ........ !!Kumbe jukwaani huku kuna ugali eeehhh...
Nakusubiria uniambie bana
Haha na hilo kufuli uliloweka " naanzaje kukwambia sasa ...acha tu ni baki na siri yanguKumbe jukwaani huku kuna ugali eeehhh...
Nakusubiria uniambie bana