Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Wana Jamii naombeni Msaada....nimepoteza Hati ya Umiliki wa Hisa za TBL leo mwaka wa 16 nifanye nin kukomboa Hisa zangu......?? Msaada naomba...
Nenda TBL utakutana na mtu anayehusika na kitengo cha hisa. Anzia hapo.