Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,689
YES, Safi mkuu.Mi nimejaribu kuvi download baadhi ya hivo, uzuri wangu mimi nimeshazoea kusoma kwenye PC kwa hiyo nina uhakika ntavinusa hivyo vyote angalau kwa baadhi ya topics maana offcoz sio rahisi usome kitabu cha page 800 huo sio usomaji wa zama hizi. Nta choose topics halafu ntapitia. Kama hicho cha mishkin nilishakipitia pitia.
Umevicheck torrent au simply google ?? Yes chagua certain topics nd that upitie strategically....
Hicho cha " The Economics of Money & Financial Markets " kina nondo nyingi ukipiga hicho utapata mwanga ukiwa free check na videos youtube.
Alichouliza Kasinde afatilie issue za Market Abuse & Insider Dealing (Financial Crimes & Compliance)....kuna mengi sanaa humo yakujua.
In Corporate Finance na Capital Markets kuna issue za Market Efficiency, Efficient Market Hypothesis, Information Asymetry etc. wanaeleza yote hayo. Ni kutenga muda kujisomea tu yote hayo yana relate na stock price fluctuations.