Wana Jamii naombeni Msaada....nimepoteza Hati ya Umiliki wa Hisa za TBL leo mwaka wa 16 nifanye nin kukomboa Hisa zangu......?? Msaada naomba...
Wana Jamii naombeni Msaada....nimepoteza Hati ya Umiliki wa Hisa za TBL leo mwaka wa 16 nifanye nin kukomboa Hisa zangu......?? Msaada naomba...
Soma posts zote kutoka mwanzo wa thread.Duh elimu ya hisa sina kabisa msaada plz
Zitaje hapa.Zipo biashara zenye return on investment mpaka mara 1000 sema wengi wetu hatujui
Nimefatilia bitcoin kutoka last year kwenye mwezi wa 10 mpaka leo imepanda kama kwa 200% ni hiyo unazungumzia? ama kuna crypto currency ingine? wewe unajishughulisha na kuwekeza huko?Crypto currency so far has the highest return on investment ever recorded in the financial sector
Huwezi kuinvest leo kwenye bitCoin leo naenda is coin is already so expensive and mining is even most difficult I work with another company ambayo nimeinvest and it's performing much better than bitCoin with market capitalization of over 5billion euro already, if interested nicheki inbox or 0717190409 will show you how! This is a massive opportunityNimefatilia bitcoin kutoka last year kwenye mwezi wa 10 mpaka leo imepanda kama kwa 200% ni hiyo unazungumzia? ama kuna crypto currency ingine? wewe unajishughulisha na kuwekeza huko?
Electronic library. Download books free. Finding books e books unaweza kuvibahatisha for free kakaKwa hiyo hapo niandae kama kilo nne kwa vyote hivo.. duuh ntajitahidi angalau hata kimoja sio mbaya
Asante ndugu, hii link niliipata siku kama nne zilizopita. Unajua tangu torrent wafungiwe nimehaha kweli kupata link ya free books na so far nnazo kama mbili za uhakika ingine ni hiiElectronic library. Download books free. Finding books e books unaweza kuvibahatisha for free kaka
Jana imefunga 1040 leo ingawa ilifika 1060 leo inaonekana mpaka sasa imesimama kwenye 1060 ila bidder wako wengi wakati offeror ziko chini kama tunavyoongea kuwa uhitaji (demand) ikiwa kubwa kuliko upatikanaji( Supply) bei huwa inabanda sasa kuna tofauti kubwa ukiangalia kwenye repoti bidder 1.1m wakati seller elf 23 kama nilivyosema mwazoni 1300 ni big resistance ikitoboa hapo huko juu inaitwaga thin air ila naona kuna opportunity za kunua kwa nyingine ila labda tusubiri wiki hii ipite tuone soko linavyofanya. Ila market hii wangekuwa wanaruhusu Short selling kama za huko nje soko lina short sell opportunity za kutosha sana kuna watu wangefika shilling 10 hapo
Mkuu ukiona PM yangu plz nijibu na ikiwezekana tubadilishane namba mkuuFursa nyingine inakuja soon. TCCIA will have an IPO soon
Within 3 months
Namimi pia unijuzeMkuu ukiona PM yangu plz nijibu na ikiwezekana tubadilishane namba mkuu
Daaahhh, elimu muhimu kwa watu asa vijana wawekeze, lakn mtu asilete njaa zake eti utaweka milion 1 upate milion 5 kwa kipindi kifupi hii ni biashara ya mda mrefu, kwa wenzetu kuna watu warithi hisa za babu zao walizo nunua wakiwa vijana. So hii ni biashara ya mda mrefu