Kama unafikiri wao wanashindwa kufix price supply inapokuwa ndogo kuliko ile waliyoitegemea basi endelea kufikiri hivyo mkuu..DSE has nothing to do with share price, its all about supply and demand
unaongelea doubled? I've seen in major financial markets price inakuwa tripled in one dayKama unafikiri wao wanashindwa kufix price supply inapokuwa ndogo kuliko ile waliyoitegemea basi endelea kufikiri hivyo mkuu..
BTW kama unauzoefu na hizi tradings ni lini uliona price inakuwa doubled within 1 or 2 months?? Biashara ya namna gani hiyo?
Huo ujinga kwenye red ulivyonisumbua chuoni sina hamu nao.. Pamoja na kwamba hilo somo nilifaulu vizuri lakini hiyo Semester hata pombe nilikuwa nakunywa kwa machale..
Work on that bro.. Kuna vijana Europe wanapiga hizi mambo wanatengeneza pesa nzuri sana.. Lakini shida inalala kwenye hizo Market trends, sometimes kampuni zinapandisha au kushusha bei makusudi.. Sasa hawa DSE unaweza wameidouble ili watu waingie kichwa kichwa alafu price itaganda hapa 1000-1300 kwa miaka..
Lakini nime google hapa, ukitafuta hizo kampuni za online kuna nyingine zinaweza kuwa trusted na wala haina shida.. ila kweli kama ulivosema kuna matapeli kibao. Na wewe unafanya hii business ya financial markets mkuu?Hao jamaa tatizo wengine ni matapeli.. Mimi nilishamtumia mmoja wa UK akaniingiza mjini lakini angalau sikutupa pesa nyingi huko..
Huwa wanakutumia price na maelekezo inakuwa unatrade na pesa kwenye account inaongezeka vizuri tu.. Sasa kimbembe ukitaka uitoe hiyo pesa urudishe kwenye Account yako ya bank ndio hapo wanapoanza sound..
Ye mwache aseme ni wizi akati mi najua kuna mtu ana make almost 4 million per month kwa kuwekeza huku kwenye hisa na haya makorokocho ya financial markets.Wewe utakuwa ni mzaramo au mkwere...
Cha kushangaza kwenye huu uzi naona wamejaa wachagga tu wanapeana fursa, alafu wakifanikiwa mnawaita wachawi, waweka mandondocha na majambazi...
Sio tu mpaka itokee tena hata sasa hivi unaweza kwenda DSE ukachagua hisa za kununua and possibly after a month kama utakuwa umefanya upembuzi vizuri you can have your stakes. Ukiwa mjanja kwenye soko la hisa unaweza pata almost return ya 10% ya equity yako per month.Umaskini mbaya sana ndugu...hata mimi siamini nnachoona daaah najuuuta!!!! Ila nnacho amini nafasi itatokea tena na ikitokea watajuta kunijua!
Ye mwache aseme ni wizi akati mi najua kuna mtu ana make almost 4 million per month kwa kuwekeza huku kwenye hisa na haya makorokocho ya financial markets.
Nimeicheki tayari.. but it seems like forex ni kama gambling? how would you know if the market is going up or down?Nimekutumia material jipime sio kila kitu ni hela angalia kama una interest na unaweza kuhimili shock halafu nitakutumia Saikologia ya masoko uone kama uko fit maana kwenye biashara hii inabidi ujifunze kutoendana na hisia zako. Faida na hasara zipo ila lazima uwe na system ambayo faida inakuwa kubwa kuliko hasara ili kusonga mbele.
Unajua hata haya ya hapa bongo ukicheza vizuri yanaweza kupa return kubwa mno, sema inaonekana atakuwa ana trade na stocks za nje ya nchi. Sana sana za america.. unajua kule price ina fluctuate ndani ya masaa na ukiwa mjanja you will have your stakesHuyo jamaa yako ana trade marjet ya hapa bongo pekee au na za nnje ??
Kabla hujaanza kutufundisha show us your forex trading P & L statement na usitulee demo,tuwekee live account from a credible broker
Eeekambe newe mbe kudo kudo sir.. besaaaaaaKwaade Mushi
Nimeicheki tayari.. but it seems like forex ni kama gambling? how would you know if the market is going up or down?
Kama unafikiri wao wanashindwa kufix price supply inapokuwa ndogo kuliko ile waliyoitegemea basi endelea kufikiri hivyo mkuu..
BTW kama unauzoefu na hizi tradings ni lini uliona price inakuwa doubled within 1 or 2 months?? Biashara ya namna gani hiyo?
Ndio maana yake ukicheck America kuna one of the biggest financial center pale i.e. NYSE....makampuni ni mengi mno.....Unajua hata haya ya hapa bongo ukicheza vizuri yanaweza kupa return kubwa mno, sema inaonekana atakuwa ana trade na stocks za nje ya nchi. Sana sana za america.. unajua kule price ina fluctuate ndani ya masaa na ukiwa mjanja you will have your stakes
Ngoja nijarubu kui master hiyo skill kwanza. Na wewe upo kwenye hiyo mambo mkuu?Invest in analysis and forecasting.
Ukiweka akili yako kua hii ni gambling hutapata kitu.
yaah ulichosema ni kweli kabisa mkuu. stocks za nje ndo mpango mzima. Halafu mkuu wewe una potential kubwa ya kuwa ndani ya hii business. Why are you not in? Naona kama ungeweza kucheza sana na soko. Kwa knowledge yako naona kabisa you would be making millions by now.Ndio maana yake ukicheck America kuna one of the biggest financial center pale i.e. NYSE....makampuni ni mengi mno.....
Kujua stock prices za companies waweza check yahoo finance u can manipulate the data in whatever way u want graph, charts etc. Pia kujiunga na groups za stock traders linkedin, Instagram, facebook, yahoo itakusaidia sanaa kujiongeza mwanga.
Fluctuations za stock prices hapa bongo mara nyingi ni mihemko tu cz company zenyewe zinahesabika ni kawaida watu kushoboka na kitu kipya in the market waki expert returns kubwa in a short while.
Hahahaha pole sana mkuu sasa kama angefanya hivo hiyo faida ya milioni 15 angakupa wewe si ungekuwa sasahiv una mtaji wako mrefu tu?Nilifanikiwa kununua hisa za DSE na kama b'nessman nilipredict hili leo hii kuna mama amestaaff na alipokea mpunga wake the same week DSE wakitangaza initial public offer ya DSE plc shares nikamshauri maza toa kama million 15 hiv invest huku kachelea chelea hadi muda wa kununua share in primary market ukaisha jana namwambia share sasa hiv zina ck ya nne kwenye secondary market na zina trade for 1100 ths / share ananimind huyu ana akili kweli mgonjwa unamletea msosi unamsagia alafu hataki kumeza
Hao jamaa tatizo wengine ni matapeli.. Mimi nilishamtumia mmoja wa UK akaniingiza mjini lakini angalau sikutupa pesa nyingi huko..
Huwa wanakutumia price na maelekezo inakuwa unatrade na pesa kwenye account inaongezeka vizuri tu.. Sasa kimbembe ukitaka uitoe hiyo pesa urudishe kwenye Account yako ya bank ndio hapo wanapoanza sound..