Nawaonya vijana wa leo mnaofungua makanisa kila kukicha acheni mara moja kama hamna wito, Injili sio biashara.

Imani ya Kikristo inachezewa sana,Kagame alikiwa sawa aliposema,wachungaji wote lazima wawe na degree ya Theology, alikuwa yupo sawa. Ishakuwa fujo,washakuwa wagombanishi,wapiga ramli,yaani vurugu tu na kama hujui biblia na hujamshika Mungu wanakupoteza.
 
For what I know you need to give us proof to support what you said.
There is no proof for the existence of God, Hence those bogus religious preachers are just lying to you.

They only feed on your ignorance.

They should prove the existence of that God before they start to brainwash and indoctrinate your mind to believe in an imaginary God who never existed and he doesn't exist.


That God exists only in a fictional book which you're calling it, Bible.
 
My mind always tells me Atheist are psychologically & spiritually blind. I have no doubt it tells me the right thing.

If don't believe in God, at least meditate.
 
Asilimia kubwa kubwa ni wapiga at wawe na degree ya theology
 
Biblia si ushahidi bali hadithi zisizo na uthibitisho wowote ule.

Ni sawa na Hekaya za Abunuwasi uziite ushahidi bila kuthibitisha uwepo wa Abunuwasi mwenyewe.
Mmeanza kama kawaida yenu mkianza kubanwa mnakimbilia huku.
 
Asilimia kubwa kubwa ni wapiga at wawe na degree ya theology
Inapunguza wazushi, sio kila siku mtu akimka anasema ameoteshwa then anafungua kanisa. Ukiweka degree wazushi watakuwepo,ila sio kwa wingi kama huu wa sasa.
 
Mmeanza kama kawaida yenu mkianza kubanwa mnakimbilia huku.
Kubanwa na nini?

Mimi hata huyo Mungu simuamini.

Ninachokwambia ni hivi, Dhana nzima ya Mungu imejengwa kwenye uongo.

Ndio maana huwezi kuthibitisha injili ipi ni ya kweli na ipi ni ya uongo.

Maadam kila muumini anaona imani yake ni sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…