Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
Mi nikiskia matapeli navua viatu navishikilia mkononi alafu natoka spidii ya V8
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo alinicheki nikafuata maelekezo yote. Sasa badala ya kunilipa mara akanitumia Link ya telegram nikamblack😅Your job is very simple just subscribe Youtube pages after that send me screenshots and you will get paid.
Click on the link below and subscribe to our youtube channel and send me a screenshot
![]()
amazon
Amazon.com seeks to be Earth's most customer-centric company, where customers can find and discover anything they might want to buy online, and endeavors to offer its customers the lowest possible prices. Amazon.com and other sellers offer millions of unique new, refurbished and used items in...www.youtube.com
Hivi kuna ndezi wanakula za uso na hawa wajinga
Aliyeliwa ni wewe wala sio nduguyo 🤣🤣Ndugu yangu ndio kaliwa hivo
Wajinga hamtaisha, unadhani una akili kushinda hao wanaowatapeli? Hiyo akili yako wanayo zaidi ya hiyo ndo maana ulivyo mjinga unekubali eti upate elf 10 ya bure kila siku. Hilo wanalijua sana na hiyo hela hutapata.Swali Kwa mtoa mada kwanini haukuendelea kufanya Hilo Dili la 10,000 Kwa siku? Kwa nini ulikubali kuinvest ela kubwa zaidi? Nipe Mimi hiyo link nipate buku teni.
Kama elobielo vileelink unaitapa mdau kaonesha hapo. sasa uki instal hio investments wanakuambia your teacher will guide you to snoping. kama hapo hela imeganda wanasema invest 780,000 ukomboe
NDIO MANA NIMEKINBILIA KUTOA TAHADHARI. weng wanaongea ongea tu na kuona wana akili sana. ila kila mtu akisema alivotapeliwa mjini hapaAhsante kwa kutufahamisha maana, njia ulipita wewe kama ina shimo😀........ni vyema kumtarifu wa nyuma yako kwamba mahali katika njia fulani kuna shimo. Hili mwingine asije kudumbukia kama ulivyodumbikia wewe😀
Unastahili Tuzo ya Tanzania Comedian Award na mgeni rasmi awe Mama wa JMT (samia).
Acha akutane na wajanja zaidi yake 😂😂Kuna namba ya South Africa ilinicheck WhatsApp wakasema nikiwa natazama bidhaa Amazon nitakuwa napata commissions na kwa kuanzia nikatizama palepale nikapata 5000. wakanitumia link Telegram. Sasa kule wakaniambia kila post ya bidhaa sh 1000. Tumeenda jioni nalipwa 10,000.
wakaseema niki invest nitapata faida, nika invest 80,000 nikapata 130,000.
wakaniambia invest 300,000 nitapatq 540,000.
Kuweka hiyo 300,000/= wakaniambia system imegenerate niweke 980,000 nitapata 980,000+540,000. nilivoshindwa ndio na hela imepotea.
Natoa angalizo ukiona hao amazontzs. kuwa makini.
Ndugu yangu ndio kaliwa hivo
Ni wewe uliyeshindwa kama unavyosema, unaona wivu wenzako watafaidika, laiti ungefanikiwa kuweka mambo yangekuwa muswano.Kuna namba ya South Africa ilinicheck WhatsApp wakasema nikiwa natazama bidhaa Amazon nitakuwa napata commissions na kwa kuanzia nikatizama palepale nikapata 5000. wakanitumia link Telegram. Sasa kule wakaniambia kila post ya bidhaa sh 1000. Tumeenda jioni nalipwa 10,000.
wakaseema niki invest nitapata faida, nika invest 80,000 nikapata 130,000.
wakaniambia invest 300,000 nitapatq 540,000.
Kuweka hiyo 300,000/= wakaniambia system imegenerate niweke 980,000 nitapata 980,000+540,000. nilivoshindwa ndio na hela imepotea.
Natoa angalizo ukiona hao amazontzs. kuwa makini.
Ndugu yangu ndio kaliwa hivo
Watakuja kutuulia ndugu zetu hawa , ila watu hawakomi tu 😂😂😂😂Toughlendon kuna utapeli mwingine huku.
HeheheNdugu yangu ndio kaliwa hivo
Umeona eehHakuna cha ndugu yako ni WEWE.
Mkuu kwani ukikiri kuwa wewe ndo umeliwa kutokana na ujinga wako utapungukiwa niniNdugu yangu ndio kaliwa hivo