Nawapa tahadhari, msitapeliwe

Huyo alinicheki nikafuata maelekezo yote. Sasa badala ya kunilipa mara akanitumia Link ya telegram nikamblackπŸ˜…
 
Swali Kwa mtoa mada kwanini haukuendelea kufanya Hilo Dili la 10,000 Kwa siku? Kwa nini ulikubali kuinvest ela kubwa zaidi? Nipe Mimi hiyo link nipate buku teni.
Wajinga hamtaisha, unadhani una akili kushinda hao wanaowatapeli? Hiyo akili yako wanayo zaidi ya hiyo ndo maana ulivyo mjinga unekubali eti upate elf 10 ya bure kila siku. Hilo wanalijua sana na hiyo hela hutapata.
 
Ahsante kwa kutufahamisha maana, njia ulipita wewe kama ina shimoπŸ˜€........ni vyema kumtarifu wa nyuma yako kwamba mahali katika njia fulani kuna shimo. Hili mwingine asije kudumbukia kama ulivyodumbikia weweπŸ˜€

Unastahili Tuzo ya Tanzania Comedian Award na mgeni rasmi awe Mama wa JMT (samia).
 
NDIO MANA NIMEKINBILIA KUTOA TAHADHARI. weng wanaongea ongea tu na kuona wana akili sana. ila kila mtu akisema alivotapeliwa mjini hapa
 
Acha akutane na wajanja zaidi yake πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ni wewe uliyeshindwa kama unavyosema, unaona wivu wenzako watafaidika, laiti ungefanikiwa kuweka mambo yangekuwa muswano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…