Nawapa tahadhari, msitapeliwe

Mkuu kwani ukikiri kuwa wewe ndo umeliwa kutokana na ujinga wako utapungukiwa nini
noo ipo hiv mdau
sio mim unaona? ni jamaa yang mmoja respectively sana.asingekuja humu
 
Hao jamaa toka mwaka Jana mpaka sasa nishapita na hela zao nyingi za trial, wakinipa 10,000 la commission ya siku hiyo na kwenye group Lao natoka, wako sana Instagram na WhatsApp, ukipatana nao huko wanakupeleka telegram, ukiwa na tamaa unalizwa.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Nikishaona code no tofauti na TZ anaanza Hi cjibu maana najua sina rafiki wala ndugu Ulaya Afrika kati wala.magharibi sa nijibu ya nn mwishowe nishawishike kujua anahitaji nn Badae nijikute nimehakiwa vi Acc vyanguu..woi kwa hapo nishawini nablock faster staki ushenzi
 
Wao wamepata faida 300,000-15000-50000 =245,000 pole sana ,hakuna hela ya bure ,wao wanazalisha nini? kwanini wasichukue ndugu zao wazalishe hizo hela wakupende wewe?


Pole sana mkuu, wengine kuwa makini na watu wa forex signal,sijui account management ,sijui robot
 
Tunakulaga 5k zao tunasepa, hatuweki pesa. Ww chambo, imekumala.
 
Jumla ya 15,000 unatumiwa kwenye mobile number yako uliyoijaza siku hiyo hiyo, maana kwa siku wanakuwa na task kama 24, Kila task 1000, kwahiyo ukifikisha 10 unatumiwa 10k na mwanzo ukijisajili Wana kutumia 5000, sasa hapo ndo mwenye tamaa anavaba anaweka hela yake
Ulishafanikiwa kutoa hata tsh 5000?
 
Ukiona mtu anaweza kutapeliwa kipumbavu basi tambua hata kuf*rw* ni rahisi sana
 
Jamani wabongo wakoje.mbona mnapenda vya bure.sasa nawaambia hizo Bure zitawauwa...kila siku mnaambiwa Epuka matapeli hamsikii.
 
Watu mna bahati ya kutapeliwa 😂, mimi huwa sipati hiyo bahati sijui kwa sababu sina pesa?
 
hao nimewapiga helawakaniblocjk wenyewe ya kwanza nilikua 65k ya pili nilikula 32... kule kwenye kuview nilikula kama 10 kibao kuweka mzigo nkawa siweki mpaka wakaniambia kama hauweki hela haupo sirius wakanblock
 
Poleni sana Kwa utapeli huo wa kidigiti
 
Haina tofauti na kumtega kuku na punje za mahindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…