Mbona Kongosho hayupo au he yule?Mx
Jinsia yake ina utata sasa babu Asprini amesema mpaka amshughulikie ndio tupate majibu.Mbona Kongosho hayupo au he yule?Mx
Thanks a lot Taz, kumbe mie na my swahiba husninyo tunabamba eeh?.. Tulikuwa na mpango wa kuweka avatar kabla mwaka haujaisha ila hatuweki tena, wacha tuendelee kubamba kimya kimya!...Kumbe ni wa dada peke yao? Lakini kaka muechagua poa...
Mi ningeongeza
King'asti kwa intelligence na sense of humor,
Husninyo na Sweetlady kwa kubamba kwa idea kuliko kutumia avatar kama wanavo fanya wengi humi,
lucky_c_pesa kwa maujizi na mauwazi and last but certainly not least,
fave of all times Michelle kwa kila kitu!!!
Afu mke mwenza umeanza lini kuweka siri za chumbani hadharani? Subiri nim dipu mkweo aje tuje tukuchangie, peke angu sikuwezi manake unapenda sana kung'ata!,.1 hiyo intelligence ya kuvizia nikichochea na msuba ndo kichwa inakuwa mwake (don't try that at home)
2 husn na sl hawana lolote, idea wanaiba kwangu kwanza!
3 kumbe laki si mahela ni mdada? Kazi mnayo ya kusaka millioni kufanya ugomvi!
I like you too Taz, sisi ni wafuasi wa King'asti bana, tunaibia ibia kwake ila nafurahi kama vile tunavyo viiba huwa unavikubali....1. Kumbe ni intelligence ni ya msuba? ndio more impressive sasa sababu inatokea inner you, sio copy paste wala kujifanya mjuaji... Me like that... (I'll try it with you)
2. Husninyo na Sweetlady ni wafwasi wako? basi ndio maana I like them both.
3. Usinambie Lucky_c_pesa ni Mwanaume :shock:
nalitoka kidogo. what are you laughing at go back to topicHapana mkuu siunajua masharti ya JF, kama mjadala unaoendelea ni tofauti na mada husika topic inaweza ikaondolewa!
Sasa kama sijatoa tahadhari mkuu inakuwaje? na hapa bado kuna watu wanahitaji kuja kuperuzz ili waje watoe michango yao! siunajua watu wanatafuta riziki kwanza ndio waje wafungue JF-MMU.
Hahaha! Mke mwenza uko juu, wakubali wakatae!...huezi amini mie pia nakuzimiaga haswa, na kilichonifanya nijipendekeze kwako mpaka tukawa karibu ni hii staili yako ya kukomenti kama utani afu ndio wamaanisha lol... Walie wasokuwa na mke mwenza kama wewe!.. Jioni tutakuwa wageni wako....1 U will try it with me? Hebu dadavua (ujue PAW anakusoma hapa, be careful
2 Hao husn na sl ni my passive smokers, watu wangu wa karibu so nikipuliza msuba wanaishia kuvuta moshi wake.
3 Afu usini-misquote banaa(nahisi ww mwandishi wa habari,kha!), mi sijui kama huyo laki si mahela ana jinsia gani, labda tukamchungulie kwa ruhusa ya invisible!
Ooh..hawajui wewe ndio kila kitu kwenye hili jukwaa? Personally naku admire sana, especilly kwenye zile sred zako!! Sijui this time utakuja na nini tena!! Waiting...pls wote wamekataa kunitaja naomba basi wewe personaly unitaje kuwa ni namba wani wako.
Thanks a lot Taz, kumbe mie na my swahiba husninyo tunabamba eeh?.. Tulikuwa na mpango wa kuweka avatar kabla mwaka haujaisha ila hatuweki tena, wacha tuendelee kubamba kimya kimya!...
Ngoja nimtafute swahiba husninyo tuje tukupige ofa ya lunch...subiri hapo hapo tutakupitia mda sio mrefu!
Mamndenyi na Afrodenzi.............mungu kwajaalia kuwajali wengine........I hope this your real life character!
AshaDii , RussianRoullete.........sijui nimepatia spelling.............kauli zenu zisizotafutafuna maneno na utayari wenu kutoa msaada na kuasa!
Husninyo, Ndeonasiae, Mwanajamii.............Daima marafiki.........
Liz, Cantalisia...........Critical thinkers...lazima nirudie kusoma post zenu
But wapi Theodora, Nyamayao na Firstlady?
1 hiyo intelligence ya kuvizia nikichochea na msuba ndo kichwa inakuwa mwake (don't try that at home)
2 husn na sl hawana lolote, idea wanaiba kwangu kwanza!
3 kumbe laki si mahela ni mdada? Kazi mnayo ya kusaka millioni kufanya ugomvi!
Kongosho nimempa shavu kwenye thread ya Smile.Mkuu huwa huendi taarabu nini, siamini kongosho hayupo hapo. Upendeleo wa wazi wazi huu
Tunabamba swahiba lol, mie pia sikuachi nakufata popote, ukijitoa jf najitoa pia!hehehehe! Nakufata kila utakapoenda swahiba. Kumbe bila avatar pia tunaoshaaaa eeh?
Bora umekuja, nilikuwa nakusubiri twende tukamchangie, haijalishi kama kakuzalia chema! Zunguka nipo huku uani navaa bukta!halafu wewe unabahati umenizalia chema. Ningekutwanga mangumi hadi bamkwe paw akusahau.
@taz njo huku nikupe idea.
Bila CCM ungekuwa hapo ulipo? Kwa taarifa yako hata hii JF ni ya...
Ndio maana yule babu wa karatu kajidai kukimbia huku kwenda kuanzisha forum yake! Shame on him!
Ushamba mwingine ni mzigo kuliko zigo la misumali.
Huyu ni mmoja wa wamiliki wa JF, ina maana nyinyi vilaza huyu nyinyi ni maboss zake!!??
W. J. Malecela
JF Senior Expert Member
Add as Friend Send Private Message Add to Ignore List User Notes (0) Find latest posts Find latest started threads Likes Received (925) Likes Given (1026)
Join Date 15th March 2009 Last Activity Yesterday 16:32 Avatar
Mtaji wenu wa kisiasa ni watu wenye njaa kama hawa
Ni mtazamo tu! kama haikuhusu ipotezee au "PITA" Haina kubeza, Waacheni wajione michael anawaangalia kwa mtazamo gani.
AshaDii: Aunt heshima yako! Naomba urudishe shungi vidume vishaanza kutokwa udenda!
Afrodenz: Designer! nakukubali mrembo Jicho kama umekula kungu manga lainiiiiiiii.
Amyner: Mrembo uko poa kama ulivyo. September baby!!!
Black Womani: Black beautifuly
Cantalisia: Binti Mtambuzi uko poaa! Dogo katangaza nia kaishia mitini, Baba mkwe mkali
Da Pretty: Uko poa dada, Ila mtu kama yuko kwa nyuma yako basi anafaidi.
Firstlady: Jicho na mdomo aaaaah Mashaalah.
Kabakabana: Uko bombaa! mpaka unatishia usalama wa Mwali
King'asti: Uko poa mtu wangu sema leo umerusha stimu! jibu hapa
Kipipi: Nambie mtoto wa kisukuma tupe kwa mbele sura tuione vizuri.
Kisukari Kama jina lako lilivyo, na huo mkono kama warusha kiss kwa mtu
Lizzy: Jimama la Unga LTD vipi kwemaa!?
Mwali: Hivyohivyo mama naona mtakatifu kaamua kukufunua shungi. Uko bomba! akugusi mtu.
Mamndenyi: Huyo bibi hapo anatuziba hatukuoni vizuri.
Mrembo by Nature: Hi
MwanajamiiOne: Jicho lako dada wee!
Preta: Aaa una macho laini mazuuriiiiii
Russian Roulette: Mmh Usinipige Ban mkuu, Hicho kifua kinamtoa udenda babu Asplini, Uko bomba mbaya.
Smile: Oooh! Pole mrembo endelea kumuuguza mama yetu.
Twande: Na wewe mtata mdadisi mpaka basi kwa baba mkwe Mtambuzi.
Jamani kama nimemkwaza mtu anisamehe, kwangu ni amani nawapenda wote members wenzangu!