Nawapenda Hawa Wadada/Wanawake MMU-Members 20 Bora.

Nawapenda Hawa Wadada/Wanawake MMU-Members 20 Bora.

Kumbe ni wa dada peke yao? Lakini kaka muechagua poa...
Mi ningeongeza
King'asti kwa intelligence na sense of humor,
Husninyo na Sweetlady kwa kubamba kwa idea kuliko kutumia avatar kama wanavo fanya wengi humi,
lucky_c_pesa kwa maujizi na mauwazi and last but certainly not least,
fave of all times Michelle kwa kila kitu!!!
Thanks a lot Taz, kumbe mie na my swahiba husninyo tunabamba eeh?.. Tulikuwa na mpango wa kuweka avatar kabla mwaka haujaisha ila hatuweki tena, wacha tuendelee kubamba kimya kimya!...

Ngoja nimtafute swahiba husninyo tuje tukupige ofa ya lunch...subiri hapo hapo tutakupitia mda sio mrefu!
 
  • Thanks
Reactions: Taz
1 hiyo intelligence ya kuvizia nikichochea na msuba ndo kichwa inakuwa mwake (don't try that at home)
2 husn na sl hawana lolote, idea wanaiba kwangu kwanza!
3 kumbe laki si mahela ni mdada? Kazi mnayo ya kusaka millioni kufanya ugomvi!
Afu mke mwenza umeanza lini kuweka siri za chumbani hadharani? Subiri nim dipu mkweo aje tuje tukuchangie, peke angu sikuwezi manake unapenda sana kung'ata!,.

V'day imemalizika wifi kasema anaomba urudishe vile viatu, mie pia mkanda wangu nautaka leo jioni!
 
1. Kumbe ni intelligence ni ya msuba? ndio more impressive sasa sababu inatokea inner you, sio copy paste wala kujifanya mjuaji... Me like that... (I'll try it with you)
2. Husninyo na Sweetlady ni wafwasi wako? basi ndio maana I like them both.
3. Usinambie Lucky_c_pesa ni Mwanaume :shock:
I like you too Taz, sisi ni wafuasi wa King'asti bana, tunaibia ibia kwake ila nafurahi kama vile tunavyo viiba huwa unavikubali....
 
  • Thanks
Reactions: Taz
Hapana mkuu siunajua masharti ya JF, kama mjadala unaoendelea ni tofauti na mada husika topic inaweza ikaondolewa!

Sasa kama sijatoa tahadhari mkuu inakuwaje? na hapa bado kuna watu wanahitaji kuja kuperuzz ili waje watoe michango yao! siunajua watu wanatafuta riziki kwanza ndio waje wafungue JF-MMU.
nalitoka kidogo. what are you laughing at go back to topic
 
1 U will try it with me? Hebu dadavua (ujue PAW anakusoma hapa, be careful
2 Hao husn na sl ni my passive smokers, watu wangu wa karibu so nikipuliza msuba wanaishia kuvuta moshi wake.
3 Afu usini-misquote banaa(nahisi ww mwandishi wa habari,kha!), mi sijui kama huyo laki si mahela ana jinsia gani, labda tukamchungulie kwa ruhusa ya invisible!
Hahaha! Mke mwenza uko juu, wakubali wakatae!...huezi amini mie pia nakuzimiaga haswa, na kilichonifanya nijipendekeze kwako mpaka tukawa karibu ni hii staili yako ya kukomenti kama utani afu ndio wamaanisha lol... Walie wasokuwa na mke mwenza kama wewe!.. Jioni tutakuwa wageni wako....
 
pls wote wamekataa kunitaja naomba basi wewe personaly unitaje kuwa ni namba wani wako.
Ooh..hawajui wewe ndio kila kitu kwenye hili jukwaa? Personally naku admire sana, especilly kwenye zile sred zako!! Sijui this time utakuja na nini tena!! Waiting...
 
Mkuu huwa huendi taarabu nini, siamini kongosho hayupo hapo. Upendeleo wa wazi wazi huu
 
Thanks a lot Taz, kumbe mie na my swahiba husninyo tunabamba eeh?.. Tulikuwa na mpango wa kuweka avatar kabla mwaka haujaisha ila hatuweki tena, wacha tuendelee kubamba kimya kimya!...

Ngoja nimtafute swahiba husninyo tuje tukupige ofa ya lunch...subiri hapo hapo tutakupitia mda sio mrefu!

hehehehe! Nakufata kila utakapoenda swahiba. Kumbe bila avatar pia tunaoshaaaa eeh?
 
Mamndenyi na Afrodenzi.............mungu kwajaalia kuwajali wengine........I hope this your real life character!
AshaDii , RussianRoullete.........sijui nimepatia spelling.............kauli zenu zisizotafutafuna maneno na utayari wenu kutoa msaada na kuasa!
Husninyo, Ndeonasiae, Mwanajamii.............Daima marafiki.........
Liz, Cantalisia...........Critical thinkers...lazima nirudie kusoma post zenu

But wapi Theodora, Nyamayao na Firstlady?

mimi luv yuuu baba maua.
 
1 hiyo intelligence ya kuvizia nikichochea na msuba ndo kichwa inakuwa mwake (don't try that at home)
2 husn na sl hawana lolote, idea wanaiba kwangu kwanza!
3 kumbe laki si mahela ni mdada? Kazi mnayo ya kusaka millioni kufanya ugomvi!

halafu wewe unabahati umenizalia chema. Ningekutwanga mangumi hadi bamkwe paw akusahau.
@taz njo huku nikupe idea.
 
  • Thanks
Reactions: Taz
Hahahaaa Michael s. Ahsante. . Kweli wewe ni great thinker! Udadisi unakuja unapopiga picha na kupata flash tu lol. . Kwanza sikukuachia swali kule wewe? Ngoja nikaangalie hatima ya yule bekitatu. .
 
halafu wewe unabahati umenizalia chema. Ningekutwanga mangumi hadi bamkwe paw akusahau.
@taz njo huku nikupe idea.
Bora umekuja, nilikuwa nakusubiri twende tukamchangie, haijalishi kama kakuzalia chema! Zunguka nipo huku uani navaa bukta!
 
Bila CCM ungekuwa hapo ulipo? Kwa taarifa yako hata hii JF ni ya...
Ndio maana yule babu wa karatu kajidai kukimbia huku kwenda kuanzisha forum yake! Shame on him!

Ushamba mwingine ni mzigo kuliko zigo la misumali.
Huyu ni mmoja wa wamiliki wa JF, ina maana nyinyi vilaza huyu nyinyi ni maboss zake!!??

W. J. Malecela
user-offline.png

JF Senior Expert Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png




Join Date 15th March 2009 Last Activity Yesterday 16:32 Avatar
avatar14452_2.gif

320581_163430573738117_158108290937012_315590_985909421_n.jpg


Mtaji wenu wa kisiasa ni watu wenye njaa kama hawa

Ngoja nipite tu kumbe MMU imekuwa ya siasa siku hizi............
 
Ni mtazamo tu! kama haikuhusu ipotezee au "PITA" Haina kubeza, Waacheni wajione michael anawaangalia kwa mtazamo gani.

AshaDii: Aunt heshima yako! Naomba urudishe shungi vidume vishaanza kutokwa udenda!
Afrodenz: Designer! nakukubali mrembo Jicho kama umekula kungu manga lainiiiiiiii.
Amyner: Mrembo uko poa kama ulivyo. September baby!!!

Black Womani: Black beautifuly
Cantalisia: Binti Mtambuzi uko poaa! Dogo katangaza nia kaishia mitini, Baba mkwe mkali
Da Pretty: Uko poa dada, Ila mtu kama yuko kwa nyuma yako basi anafaidi.
Firstlady: Jicho na mdomo aaaaah Mashaalah.

Kabakabana: Uko bombaa! mpaka unatishia usalama wa Mwali
King'asti:
Uko poa mtu wangu sema leo umerusha stimu! jibu hapa
Kipipi: Nambie mtoto wa kisukuma tupe kwa mbele sura tuione vizuri.

Kisukari Kama jina lako lilivyo, na huo mkono kama warusha kiss kwa mtu
Lizzy: Jimama la Unga LTD vipi kwemaa!?
Mwali: Hivyohivyo mama naona mtakatifu kaamua kukufunua shungi. Uko bomba! akugusi mtu.

Mamndenyi: Huyo bibi hapo anatuziba hatukuoni vizuri.
Mrembo by Nature: Hi
MwanajamiiOne: Jicho lako dada wee!

Preta: Aaa una macho laini mazuuriiiiii
Russian Roulette: Mmh Usinipige Ban mkuu, Hicho kifua kinamtoa udenda babu Asplini, Uko bomba mbaya.
Smile: Oooh! Pole mrembo endelea kumuuguza mama yetu.

Twande: Na wewe mtata mdadisi mpaka basi kwa baba mkwe Mtambuzi.

Jamani kama nimemkwaza mtu anisamehe, kwangu ni amani nawapenda wote members wenzangu!

Umetambuaje jinsia zao?
 
Back
Top Bottom