Nawapenda Hawa Wadada/Wanawake MMU-Members 20 Bora.

Yaani hapa unazidi kuniacha hoi! mpaka mapigo ya moyo yanaongezeka kasi!
Aaaa kama mwanakondoo vile kichwa chini.
Asante dada!

Acha kutuletea lyrics za Fresh Jumbe wewe, kama vp we tangaza nia halafu usubirie shori tasema nini....au unaogopa cha mbavu?!
 
MJ asante sana kwa kuniona,
lol najua unamapenzi makubwa sana na mimi mama yako,
I Love u my son. mwaaaaaaaa!!!!!!!!!!
 
Acha kutuletea lyrics za Fresh Jumbe wewe, kama vp we tangaza nia halafu usubirie shori tasema nini....au unaogopa cha mbavu?!
Wewe tu mbona mwenyewe kashaelewa!

Mkuu, hiki kiswahili hapo kwenye red sio kizuri hata kidogo, hususani kule pande za kwetu!!! Au ndo unamaanisha?!
Yaani kiko sahihi kabisa. kama ambavyo utakitafsiri.
 
Why not? nitakuja na nitavaa gawn ya satin na kofia kubwa yenye nyavu kwa mbele... akitoka jaso nafuta tu...
Harusi lini tujiandae for the ultimate chit chat party?

Aiseee,hata wewe?
Naomba upeleke maombi yangu kwa kina max kwamba
waweke description ya gender upande wa kulia pale kwenye Join date,location,...etc kuwe na gender???

Coz all the time najua wewe ni "HE"
 
Imekua diner sasa...

I like you too Taz, sisi ni wafuasi wa King'asti bana, tunaibia ibia kwake ila nafurahi kama vile tunavyo viiba huwa unavikubali....
hehehehe! Nakufata kila utakapoenda swahiba. Kumbe bila avatar pia tunaoshaaaa eeh?
Nawakubali mno. Mmewazidi wenye maavatar wote!
halafu wewe unabahati umenizalia chema. Ningekutwanga mangumi hadi bamkwe paw akusahau.
@taz njo huku nikupe idea.
Nipo... :gossip:
 
list haiwezi kamilika bila kuwemo.
Nazjaz
Bebii
Zinduna
Hawa nao hufurahisha jukwaa.

Huu ni mtizamo wako! lakini pia kumbuka yeye amesema anawapenda hawa wadada na sio vinginevyo! so unaweza kuanzisha thread yako ya kuonesha kuwa MMU bila hao ulowataja haijakamilika.....
 
Asante mdau kwa kutumia angalau muda wako kuandika jina langu..hii ni appreciation tosha! japo sijaelewa kilichoandikwa kama utambulisho kwangu ...kama hutojali naomba unieleweshe kidogo hiyo "HI" imemaanisha nini...

Thanx once more
 
ndio hivyo dini hairuhusu kaka.

Ah,dini ni za kibinadamu bana tena siku hizi ni biashara.
Nlidhani utasema "Mungu haruhusu" kumbe ni dini hairuhusu?
Basi hamia dini inayo ruhusu bana.

Nisaidie huu mtihani kwanza,...eti
kiboko na mamba nani kiboko?
 
Asante mdau kwa kutumia angalau muda wako kuandika jina langu..hii ni appreciation tosha! japo sijaelewa kilichoandikwa kama utambulisho kwangu ...kama hutojali naomba unieleweshe kidogo hiyo "HI" imemaanisha nini...

Thanx once more
Mrembo hautaki salamu?
 
Ah,dini ni za kibinadamu bana tena siku hizi ni biashara.
Nlidhani utasema "Mungu haruhusu" kumbe ni dini hairuhusu?
Basi hamia dini inayo ruhusu bana.

Nisaidie huu mtihani kwanza,...eti
kiboko na mamba nani kiboko?
Labda ahamie Airtel?
 
Ila umeingia cha kike wengine hapo ni vidume.................nikutajie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…