Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,728
Huna lolote. Nyg tu zinakusumbua...Msema kweli mpenz wa Mungu....
Kusema kweli hawa wadada nawapenda balaa...hata miandiko yao naipenda..yaani nikiona comment ya hao viumbe huwa nakuwa na hisia kalii...jf tunatambulika kwa nick name sawa, but nataman hawa watu niwaone hata mara moja...maana hisia zangu nahisi warembo balaa, any one amewahi kuwaona anitoe mawazoni, pengine sio attractive aniambie, nisiumie bureeee
Washakusamehe tayari
Kujua nini huko?Ahsante Eve...ila wewe ubora wako ni kuwa unajua sanaaaaaa hadi unakera
we mkubwa mwenzangu...huelewi tu?Kujua nini huko?
Wote wana sifa moja....WANAPENDA PESA BALAAAA!!!Msema kweli mpenz wa Mungu....
Kusema kweli hawa wadada nawapenda balaa...hata miandiko yao naipenda..yaani nikiona comment ya hao viumbe huwa nakuwa na hisia kalii...jf tunatambulika kwa nick name sawa, but nataman hawa watu niwaone hata mara moja...maana hisia zangu nahisi warembo balaa, any one amewahi kuwaona anitoe mawazoni, pengine sio attractive aniambie, nisiumie bureeee
Ngoja siku nibomoe kibubu halafu niwatafute wote kwa mpigo[emoji39] [emoji87] [emoji85]Wote wana sifa moja....WANAPENDA PESA BALAAAA!!!
miss chagga ni mrembo sana
Evelyn Salt mmmmmm.....mtanisamehe
Valentina yuko charming white flani hivi ...mfupi kimtindo
atoto bonge la demu...lakini mkoloni...teh
Mkuu,hivi unazo hela za kutosha??Maana mmoja Kati ya uliowataja hapo nilimpa ka-BMW na kabanda kamoja huko mbweni ka-million 200 siku yake ya kuzaliwa!Msema kweli mpenz wa Mungu....
Kusema kweli hawa wadada nawapenda balaa...hata miandiko yao naipenda..yaani nikiona comment ya hao viumbe huwa nakuwa na hisia kalii...jf tunatambulika kwa nick name sawa, but nataman hawa watu niwaone hata mara moja...maana hisia zangu nahisi warembo balaa, any one amewahi kuwaona anitoe mawazoni, pengine sio attractive aniambie, nisiumie bureeee
Sipati picha hapo roho imeruka ruka kusikia mpesa....hahaha jaamaa anataka uifate mwenyewe
Hivi tulishawaomba hela jamani mbona hiviWote wana sifa moja....WANAPENDA PESA BALAAAA!!!
Kwani kina sh ngapi baba, make kuna punguzo pia....Ngoja siku nibomoe kibubu halafu niwatafute wote kwa mpigo[emoji39] [emoji87] [emoji85]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwani kina sh ngapi baba, make kuna punguzo pia....