Nawapenda sana atoto, valentina, Evelyn Salt na Miss Chaga

Msema kweli mpenz wa Mungu....
Kusema kweli hawa wadada nawapenda balaa...hata miandiko yao naipenda..yaani nikiona comment ya hao viumbe huwa nakuwa na hisia kalii...jf tunatambulika kwa nick name sawa, but nataman hawa watu niwaone hata mara moja...maana hisia zangu nahisi warembo balaa, any one amewahi kuwaona anitoe mawazoni, pengine sio attractive aniambie, nisiumie bureeee
Huna lolote. Nyg tu zinakusumbua...
 
Katika wote hao ulio wataja physicaly, mpole, mkarimu na charming sana ni Val....... Hao wengine sina data.
 
Msema kweli mpenz wa Mungu....
Kusema kweli hawa wadada nawapenda balaa...hata miandiko yao naipenda..yaani nikiona comment ya hao viumbe huwa nakuwa na hisia kalii...jf tunatambulika kwa nick name sawa, but nataman hawa watu niwaone hata mara moja...maana hisia zangu nahisi warembo balaa, any one amewahi kuwaona anitoe mawazoni, pengine sio attractive aniambie, nisiumie bureeee
Wote wana sifa moja....WANAPENDA PESA BALAAAA!!!
 
Miss chagga, lazima akutafute inbox... Wallahiy nakuambia.. Haipiti dk 15, utatujuza hapa
 
Msema kweli mpenz wa Mungu....
Kusema kweli hawa wadada nawapenda balaa...hata miandiko yao naipenda..yaani nikiona comment ya hao viumbe huwa nakuwa na hisia kalii...jf tunatambulika kwa nick name sawa, but nataman hawa watu niwaone hata mara moja...maana hisia zangu nahisi warembo balaa, any one amewahi kuwaona anitoe mawazoni, pengine sio attractive aniambie, nisiumie bureeee
Mkuu,hivi unazo hela za kutosha??Maana mmoja Kati ya uliowataja hapo nilimpa ka-BMW na kabanda kamoja huko mbweni ka-million 200 siku yake ya kuzaliwa!
[emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
mm nayemjua mpole, mcheshi ana hekima na busara ni moniccca!
 
Back
Top Bottom