NAWAPENDA SANA HAWA..

NAWAPENDA SANA HAWA..

Mine eyes

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2016
Posts
6,496
Reaction score
7,162
Kwenu wana jf.....marafiki niwapendao sana kwa vile uwepo wetu kwa pamoja ndio unofanya jf... iwe active...
Ni marafiki ndio japo kuwa hatujuani ...hatufahamiani...lakini tunaelewana tena tumezoeana sana...
Niliwaza sana kitu....nikaamua kuja tena jf kwa rafiki zangu..kujipoza kwa koment na thread zetu....na hii ni kawaida yangu ...mnanifariji kila mtu kwa namna yake....
Hakika...ni kweli ..nawapenda sana!
Nawatakia mema..yote...
Furaha ya kweli na amani ya nafsi
Faraja na uzima wa roho na afya njema ya mwili...na akili ...
Mafanikio katika kila hitaji ....
Utulivu na uvumilivu katika changamoto za maisha...
Na walio kifungoni wapate uhuru....wa yote..

Yapo mengi ila ngoja niishie hapa...

Naomba Mungu Jf idumu...ina umuhimu
Zaidi ya wengi wanavyofikiri....

Asante Maxce na wenzio...hii ni zaidi..imekwenda mbali sana tena sana ......
Niwatakie siku njema!
 
Ushauri wangu kwako.

Kuconfess affection kwa online community ni sawa na kuonyesha kua in real life hua unajitenga/ umetengwa na wengine au unaanza kupoteza a touch of reality.

Siyo dalili nzuri. Soon unaweza kujikuta unakua antisocial na kujitahidi kufanya kila unaloweza ili kuwin back affection ya online community.

If you won' win back utajihisi umekataliwa. Na hiyo hupelekea depression, depression husogea mpaka kujiuliza ikiwa you worth living.
 
love you more...!

kuwa na marafiki wanaojali ni zaidi ya ufahari unapata peace of mind, though marafiki wenyewe ni invisible but dont matter.....
 
Ushauri wangu kwako.

Kuconfess affection kwa online community ni sawa na kuonyesha kua in real life hua unajitenga/ umetengwa na wengine au unaanza kupoteza a touch of reality.

Siyo dalili nzuri. Soon unaweza kujikuta unakua antisocial na kujitahidi kufanya kila unaloweza ili kuwin back affection ya online community.

If you won' win back utajihisi umekataliwa. Na hiyo hupelekea depression, depression husogea mpaka kujiuliza ikiwa you worth living.
Maneno yako ni kigongo msumari mkuu.... ila mimi niko huko unakodhani nitaelekea..so hii ni moja ya njia ninazotumia kunibembeleza.. na ni sehemu pekee ninayoweza onyesha hisia au namna gani nipo!

Si wote wanaoishi vizuri mkuu...
 
Nani akusamehe tena demis ??

Muulize seat ya nani...isijekuwa ni yako anabahatisha....
 
Back
Top Bottom