Mine eyes
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 6,496
- 7,162
Kwenu wana jf.....marafiki niwapendao sana kwa vile uwepo wetu kwa pamoja ndio unofanya jf... iwe active...
Ni marafiki ndio japo kuwa hatujuani ...hatufahamiani...lakini tunaelewana tena tumezoeana sana...
Niliwaza sana kitu....nikaamua kuja tena jf kwa rafiki zangu..kujipoza kwa koment na thread zetu....na hii ni kawaida yangu ...mnanifariji kila mtu kwa namna yake....
Hakika...ni kweli ..nawapenda sana!
Nawatakia mema..yote...
Furaha ya kweli na amani ya nafsi
Faraja na uzima wa roho na afya njema ya mwili...na akili ...
Mafanikio katika kila hitaji ....
Utulivu na uvumilivu katika changamoto za maisha...
Na walio kifungoni wapate uhuru....wa yote..
Yapo mengi ila ngoja niishie hapa...
Naomba Mungu Jf idumu...ina umuhimu
Zaidi ya wengi wanavyofikiri....
Asante Maxce na wenzio...hii ni zaidi..imekwenda mbali sana tena sana ......
Niwatakie siku njema!