Niccolo Machiavelli
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,881
- 3,647
Ku comment sio lazima,unaeza pia ukasoma na kuondoka.Umelipa kodi lkn
Wanafanya kazi sana.Ni vijana ambao kwa kweli unona hawajafika mbali ki masomo.Wamezaliwa na kulelewa katika maisha ya kimasikini...Lakini sasa wamejipanga na wanatengeneza pesa nzuri sana.Hawa jamaa kusema kweli nawa admire sana.Team nzima ni ya vijana walio lelewa uswahilini lakini sasa hivi ni millionaires.Hata mzazi kama una mtoto anapenda kuimba ukiwaona hawa jamaa wa WCB lazima utashawishika kumruhusu mwanao afanye mziki.....Nawapenda sana hawa vijana wa WCB!
[emoji106]they are all hard workers.hongereni sana wasafi.
Pongezi za dhati kabisa ziende kwa Simbaaaaaaaaa bila yeye WCB isingekuwa imefika hapa ilipofikia.Ni vijana ambao kwa kweli unona hawajafika mbali ki masomo wamezaliwa na kulelewa katika maisha ya kimasikini lakini sasa wamejipanga na wanatengeneza pesa nzuri sana.
Hawa jamaa kusema kweli nawa admire sana team nzima ni ya vijana walio lelewa uswahilini lakini sasa hivi ni millionaires hata mzazi kama una mtoto anapenda kuimba ukiwaona hawa jamaa wa WCB lazima utashawishika kumruhusu mwanao afanye mziki nawapenda sana hawa vijana wa WCB!
Rebeca 83 hard workers tuko wengi, sema hizi fani tulizozichagua sio, we fikiria mtu anaburuza daladala mpaka Christmas day, kama sio kujituma ni nini?
Yule Lavalava haendani nao WCB .Nachopenda kwenye team ya WCB ni
1.UMOJA
2.UPENDO na
3.KUFANYAKAZI KWA BIDII