Nawapenda sana vijana wa WCB

Nawapenda sana vijana wa WCB

Niccolo Machiavelli

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2017
Posts
1,881
Reaction score
3,647
Ni vijana ambao kwa kweli unona hawajafika mbali ki masomo wamezaliwa na kulelewa katika maisha ya kimasikini lakini sasa wamejipanga na wanatengeneza pesa nzuri sana.

Hawa jamaa kusema kweli nawa admire sana team nzima ni ya vijana walio lelewa uswahilini lakini sasa hivi ni millionaires hata mzazi kama una mtoto anapenda kuimba ukiwaona hawa jamaa wa WCB lazima utashawishika kumruhusu mwanao afanye mziki nawapenda sana hawa vijana wa WCB!
 
kuna cha kujifunza kutoka kwa hawa jamaa kwa kweli!
 
Ni vijana ambao kwa kweli unona hawajafika mbali ki masomo.Wamezaliwa na kulelewa katika maisha ya kimasikini...Lakini sasa wamejipanga na wanatengeneza pesa nzuri sana.Hawa jamaa kusema kweli nawa admire sana.Team nzima ni ya vijana walio lelewa uswahilini lakini sasa hivi ni millionaires.Hata mzazi kama una mtoto anapenda kuimba ukiwaona hawa jamaa wa WCB lazima utashawishika kumruhusu mwanao afanye mziki.....Nawapenda sana hawa vijana wa WCB!
Wanafanya kazi sana.
 
Ni vijana ambao kwa kweli unona hawajafika mbali ki masomo wamezaliwa na kulelewa katika maisha ya kimasikini lakini sasa wamejipanga na wanatengeneza pesa nzuri sana.

Hawa jamaa kusema kweli nawa admire sana team nzima ni ya vijana walio lelewa uswahilini lakini sasa hivi ni millionaires hata mzazi kama una mtoto anapenda kuimba ukiwaona hawa jamaa wa WCB lazima utashawishika kumruhusu mwanao afanye mziki nawapenda sana hawa vijana wa WCB!
Pongezi za dhati kabisa ziende kwa Simbaaaaaaaaa bila yeye WCB isingekuwa imefika hapa ilipofikia.
 
Rebeca 83 hard workers tuko wengi, sema hizi fani tulizozichagua sio, we fikiria mtu anaburuza daladala mpaka Christmas day, kama sio kujituma ni nini?

Hongera kwa kazi. Lakini muhimu kukata minyororo ya ukabaila ama sivyo utabakia kuwa dereva tu wa daladala. Diamond alikatakata minyororo ya ukabaila ya soko la muziki. Haikuwa kazi rahisi lakini leo yupo huru la LEBO yake. Leo yeye ni mshirika "patner", mwekezaji, mwajiri, mfanyabiashara, lakini juu ya yote bado ni MSANII.
 
Huu uzi hautofika mbali lazima utaingia nyongo tu team fulani wakipita hapa.
 
Back
Top Bottom