Niccolo Machiavelli
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,881
- 3,647
Ni vijana ambao kwa kweli unona hawajafika mbali ki masomo wamezaliwa na kulelewa katika maisha ya kimasikini lakini sasa wamejipanga na wanatengeneza pesa nzuri sana.
Hawa jamaa kusema kweli nawa admire sana team nzima ni ya vijana walio lelewa uswahilini lakini sasa hivi ni millionaires hata mzazi kama una mtoto anapenda kuimba ukiwaona hawa jamaa wa WCB lazima utashawishika kumruhusu mwanao afanye mziki nawapenda sana hawa vijana wa WCB!