Nawapenda sana wanaume hawa wa JF lakini sijui kama wanajua nnavyowazimikia Wallah!

Nawapenda sana wanaume hawa wa JF lakini sijui kama wanajua nnavyowazimikia Wallah!

bikira latifah

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2016
Posts
667
Reaction score
1,850
1.Saint ivuga
2.kisu cha ngariba
3.BAK
4.mshana jr

Nawapenda sana yaani sanaaa my boys!

Lakini kuna hawa wafuatao sijui wamekula maharage ya wapii

1.lizaboni
Ningekuwa mod huyu ningempa ban ya maisha
Anapostigi utumbo tu

2.Le mburula nation
Huyu baba anatia kichefu chefu jamani
Anajifanya kijana kumbe ni kibabu,, ukimpa ukweli ni lazima [emoji357] litakuhusu
Ongezea mwingine .................
 
.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji350] [emoji350] [emoji350]
 
1.Saint vuga
2.kisu cha ngariba
3.BAK
4.mshana jr

Nawapenda sana yaani sanaaa my boys!

Lakini kuna hawa wafuatao sijui wamekula maharage ya wapii

1.lizaboni
Ningekuwa mod huyu kaka ningempa ban ya maisha
Anapostigi utumbo tu

2.Nyani ngabu
Yani huyu kaka ndio simuelewagi kabisa
Anaishi manzese darajani
lakini anajitamba humu kuwa yupo[emoji631] [emoji631]

Ongezea mwingine .................
Kwahiyo unaweza kuwapa chochote wanachotaka kwako?.
 
1.Saint vuga
2.kisu cha ngariba
3.BAK
4.mshana jr

Nawapenda sana yaani sanaaa my boys!

Lakini kuna hawa wafuatao sijui wamekula maharage ya wapii

1.lizaboni
Ningekuwa mod huyu kaka ningempa ban ya maisha
Anapostigi utumbo tu

2.Nyani ngabu
Yani huyu kaka ndio simuelewagi kabisa
Anaishi manzese darajani
lakini anajitamba humu kuwa yupo[emoji631] [emoji631]

Ongezea mwingine .................
bora hata lizaboni kuliko utumbo uliondika wewe

Hapo awali nilidhani hakuna killazer kama mzurimie lakini hatimaye nimegundua wewe ni killazer kuliko mzurimie
 
1477819568145.jpg
 
ngoja watoke majumba ya kuabudu waje kukuthibitishia 'mahaba' ila jiandae kukabiliana na waliokutangulia. Rais wa wabeba mabokisi, Lizabon kateni rufaa ndani ya siku 3. haki haijatendeka
 
1.Saint vuga
2.kisu cha ngariba
3.BAK
4.mshana jr

Nawapenda sana yaani sanaaa my boys!

Lakini kuna hawa wafuatao sijui wamekula maharage ya wapii

1.lizaboni
Ningekuwa mod huyu kaka ningempa ban ya maisha
Anapostigi utumbo tu

2.Nyani ngabu
Yani huyu kaka ndio simuelewagi kabisa
Anaishi manzese darajani
lakini anajitamba humu kuwa yupo[emoji631] [emoji631]

Ongezea mwingine .................
Kuna thread FULANI inahusu wanaume unaowakubali ipo chit chat. Njoo post hayo majina kwenye hio thread itakuwa umefanya vema kuliko kujaza thread za namna hii
 
1.Saint vuga
2.kisu cha ngariba
3.BAK
4.mshana jr

Nawapenda sana yaani sanaaa my boys!

Lakini kuna hawa wafuatao sijui wamekula maharage ya wapii

1.lizaboni
Ningekuwa mod huyu kaka ningempa ban ya maisha
Anapostigi utumbo tu

2.Nyani ngabu
Yani huyu kaka ndio simuelewagi kabisa
Anaishi manzese darajani
lakini anajitamba humu kuwa yupo[emoji631] [emoji631]

Ongezea mwingine .................
Nilitegemea kumuona MSHANA JR...
 
Back
Top Bottom