Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya1.Saint ivuga
2.kisu cha ngariba
3.BAK
4.mshana jr
Nawapenda sana yaani sanaaa my boys!
Lakini kuna hawa wafuatao sijui wamekula maharage ya wapii
1.lizaboni
Ningekuwa mod huyu ningempa ban ya maisha
Anapostigi utumbo tu
2.Le mburula nation
Huyu baba anatia kichefu chefu jamani
Anajifanya kijana kumbe ni kibabu,, ukimpa ukweli ni lazima [emoji357] litakuhusu
Ongezea mwingine .................