Nawapenda sana wanaume hawa wa JF lakini sijui kama wanajua nnavyowazimikia Wallah!

Ni kweli bikra au jina tuuu
 

Huyo Nyani ngabu anaishi pale tandale kwa tumbo,,,,,baba yake ni mjumbe wa nyumba kumi wa ccm,,
 
Na siye wengine tusiojulikana naomba utupende tu kidogo,tusijisikie wapweke humu ndani ingawa hatuvumi sawa cute?!
 
Wanaume wenye I'D za kike mmekuwa kero siku hizi sijui mnajisikiaje ku act kikekike
Watu wa namna hiyo jicho la tatu linahitajika kutumika, ili kuwaelewa kuwa ni watu namna gani, majina yote yakiume yaliyojaa, alafu mwanamme uchague jina la kike, kuna walakini hapo. Mfano wewe jina lako halisi ni Joseph jina la jamii forums, ukajiita Mkwenda, Tembo dume, au nyoka jangwa, kuna shida gani.
 
Bora kwenye list ya unaowapenda sijamuona wangu lol, mana nisingevumilia.
 
Ungekuwepo kwenye list ungeongea maneno hayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…