Hahahaha wamefikiwaaa wababaHivi ni kweli mnakosa 3000 ya kununua mkanda mpaka mfunge na kamba za viatu wengine mnatumia utambi wa jiko la mafuta kufunga suruhali zenu kweli vijana wangu mnakosa kabisa 3000 kununua mkanda?
Nunu mkanda wako vizuri funga kwenye nguo yako vizuri kama unachomekea shusha kidogo tu pendeza toka njeee ata ukisimamisha mdada anasimama mimi nawapenda wakaka ma HR wa taasisi binafsi wanajua kuvaa smart sana achana na hawa MA HR wa halmashauri nawaongelea hawa wa taasisi binafsi kama vile BRELA
Nilipoona tu hiyo nikaacha kusomaTaasisi binafsi ya BRELA au siyo?
Shindwa.. Geita wanavaa mikanda ya dhahabu. Kwanza pengine maisha ya Geita huyaweziHawa ni wanaume wa Geita huko
Nimeishi huko nawajuaShindwa.. Geita wanavaa mikanda ya dhahabu. Kwanza pengine maisha ya Geita huyawezi
Mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Taasisi binafsi ya BRELA au siyo?
Wengine pichu ya long.Hivi ni kweli mnakosa 3000 ya kununua mkanda mpaka mfunge na kamba za viatu wengine mnatumia utambi wa jiko la mafuta kufunga suruhali zenu kweli vijana wangu mnakosa kabisa 3000 kununua mkanda?