Nawapenda sana wanawake wa uswahilini kwa ubunifu wao.

Tulio kuwepo 1998-2000 kicheko chao kilikuwa ni cha kiudhalilishaji. Heheeheeeeee waduduuuu wananyevua vuaaaa. Hapo umenyimwa mdinyano na umezira umejitenga
 
umesahau kidogo
.
siku izi wanacheka hivi
.
Hahahahahaaaa arafu wana malizia koromijeee.
.
jamani uswahilini ubunifu umetawala sana.
 
Hata kwenye upande wa kuwatafuna wako vyema kuliko kuku hawa wakisasa, wanaua kuzitumia ipasavyo maungo yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…