Martin Luther Jr
JF-Expert Member
- Apr 19, 2017
- 722
- 207
Aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo zao wa uswazi kwa majigambo km huyu anaejifanya afuatilii udakusifuatiliagi udaku bahati mbaya
Ndio hivo sina time nao kabisa udaku, waulize wanaume wa Dar labdaNdo zao wa uswazi kwa majigambo km huyu anaejifanya afuatilii udaku
Hahahahahahahahhawatukuja na heeeehheeea bashiteeee
umesahau kidogoNawapenda sana wanawake wa uswahilini kwa ubunifu wao.Hivi ni baadhi ya vicheko walivyocheka kwenye miaka tofauti.
2002 to 2004-walikuwa wanacheka "hehehe haloooo"
2005 to 2007-wakaja na "heheheee utajijuuu"
2008 to 2010-wakaleta hii ya "heheheee unalooo"
2010 to 2012-wakaleta "hehehe utajibebaaa"
2012 to 2014-wakaja na "heheheee kaoge"
2014 to 2015-safari hii hapa wakacheka "hehehe chezea mie wewe"
2016 -Hpa ss ndo wamekuja na "...heheheee KANTANGAZEEE.."
2017-Wamekuja na hii hapa hehehee wareree,wapi nyonyo
Je unahisi 2018 watabuni style gani ya kucheka?!
Hiyo mbona imeshaingia mtaani.watukuja na heeeehheeea bashiteeee