Nawapenda sana watoto wa kike ila nina hofu ya kuwa baba wa watoto wa kike, nahisi watakuja kunivunja moyo na kunidisappoint kwa ninayoyaona kwa hiki

Kwa ninayoyaona mtandaoni na maisha ya uswahilini nimeogopa kuwa na watoto wa kike nahisi watakuja kunidissapoint .

This generation sucks inaleta disappointment sana kuona blunders zinazofanywa na this gender.

Humo Telegram na WhatsApp pamejaa magroup ya watoto wa kike wadogo kiumri wanajiuza, wanafanya mapenzi kinyume, yani vitu vya ajabu.

Nowadays pamezuka clips ambazo zinaoenesha wanafunzi wakiwa kwenye sare wanafanya twerking kama wanafunzi wa South Africa.

Nilitamani sana kuwa na generation kama ya China. China ina watu sawa na bara nzima la Afrika lakini imewadhibiti wote wamenyooka.
Kakudanganya nani? Una pesa nikupeleke viwanja vyao ukatest mbunye za Kichina?

Umeshawahi kufika Hong kong, Ghuazoung na Macau?

Kule wanauza uchi na risiti ya EFD unapewa serikali inakusanya kodi.
 
Napenda mtoto wa kiume, na mtoto wangu wa kwanza natamani awe wa kiume, ila nikifikiria malezi ya mtoto wa kiume yalivyo magumu nyakati hizi nachoka kabisa…!!
mtoto wa kiume mwachie baba atambyoo

Kule wanauza uchi na risiti ya EFD unapewa serikali inakusanya

Kakudanganya nani? Una pesa nikupeleke viwanja vyao ukatest mbunye za Kichina?

Umeshawahi kufika Hong kong, Ghuazoung na Macau?

Kule wanauza uchi na risiti ya EFD unapewa serikali inakusanya kodi.

Kakudanganya nani? Una pesa nikupeleke viwanja vyao ukatest mbunye za Kichina?

Umeshawahi kufika Hong kong, Ghuazoung na Macau?

Kule wanauza uchi na risiti ya EFD unapewa serikali inakusanya kodi.
izo ni hadithi mzee officially china prostitution ni illegal na wanachukulia prostitute kama other criminals.
 
mtoto wa kiume mwachie baba atambyoo

izo ni hadithi mzee officially china prostitution ni illegal na wanachukulia prostitute kama other criminals.
Kakudanganya nani? Labda hujafika China, kama upo Dar na mshiko unao nikupeleke machimbo ya mademu wa Kichina uchaguwe unayetaka kumkaza, maana unayoona kwenye movie za Bruce Lee unadhani ndio Wachina wote wapo hivyo.
 
Walee tu vizuri proverb 22:6
Akili ya mtoto mchanga ni sawa na daftari tupu, atakayewahi kuandika andiko litadumu milele.

Baba wa watoto akitulia na wanae na kuwafundisha kwa umakini, weledi na kwa upendo/urafiki kattika miaka mitano ya mwanzo ya umri wa hao watoto, hawataacha hayo mafundisho kwa maisha yao yote.
Hata wakikutana na vishawishi, athari zake hazitakuwa kubwa.
Ninazungumzia uzoefu.
 
Watoto wa kiume je na ushoga?
tukileta statistics za mashoga nchi nzima hata 500 hawafiki sema hua tunapenda kushadadia mambo tu.

kwa africa ni ngumu kua na mashoga kama ulaya
Napenda mtoto wa kiume, na mtoto wangu wa kwanza natamani awe wa kiume, ila nikifikiria malezi ya mtoto wa kiume yalivyo magumu nyakati hizi nachoka kabisa…!!
 
Pole sana mkuu. Hata mimi nina watoto (4) wa kike

Wa kwanza yupo form 2

Kila nikiwaza kuna njemba zitakuja kuwapiga pipe. Nakosa amani kabisa
Duh!.... kwanini uwaze hayo na sio kuwaza kuna Njemba zitakuletea mahari na zitakuita Baba Mkwe ?
 
Mimi hata siwazi hilo maana najua kama ke lazima apigwe pipe na kama ni Me lazima apige pipe labda awe na matatizo binafsi.

Ni wivu wa kijinga kuumia mwanao akichapwa pipe, ndo ukubwa huo.
 
25% atakurithu tàbia
50% Vile utakavyomlea
25% Jamii.

Kama wewe kiasili unatabia Njema yàani ndani mwako kûna tabia Njema, Kisha ukamfundisha Tabia Njema. Mtoto íwe wakiume au wakike ana 75% ya kuwa na tabia Njema.

Na kama jamii(marafiki, shule, na wôte wanaomzunguka) atachota tàbia Njema huja hja ya kuogopa Kwa sababu Huko atanyonya 25%

Mtoto akikengeuka wakwanza kunyoshewa KIDOLE NI Wazazi Kwa sababu waô ndîo humrithisha tàbia na ndîo humlea.
 
sio
Mimi hata siwazi hilo maana najua kama ke lazima apigwe pipe na kama ni Me lazima apige pipe labda awe na matatizo binafsi.

Ni wivu wa kijinga kuumia mwanao akichapwa pipe, ndo ukubwa huo.
elewe nilichoandika uskurupuke
 
Napenda mtoto wa kiume, na mtoto wangu wa kwanza natamani awe wa kiume, ila nikifikiria malezi ya mtoto wa kiume yalivyo magumu nyakati hizi nachoka kabisa…!!
Usichoke wala usihofu.....

Muombe Mungu ndie awe mlezi mkuu na wewe jitahidi utakavyoweza hakika utafurahia mno.

Isaya 54:13
Na watoto wako wote watafundishwa na Bwana; na amani ya watoto wako itakuwa nyingi.
 
Pole mkuu play part yako mengine muachie Mungu ndio mjuaji wa yote cha muhimu hakikisha unawalea kwa weledi na maadili tele kama ni kukugeuka wakugeuke ukubwani huku wewe ukiwa mzee

Kingine tafuta ela mkuu uishi maisha unayotaka wewe hata porini ukiwa na hela waweza jenga ukaishi kwa aman
 
Nilitamani sana kuwa na generation kama ya China. China ina watu sawa na bara nzima la Afrika lakini imewadhibiti wote wamenyooka.
Kiukweli china na japan wamejitahidi.

Ukiangalia level ya teknolojia yao na maadili utashangaa, hio level ingekuwepo bongo hapa nchi nzima kungekua na kizazi kibaya zaidi ya hiki
 
Kwa ninayoyaona mtandaoni na maisha ya uswahilini nimeogopa kuwa na watoto wa kike nahisi watakuja kunidissapoint .

This generation sucks inaleta disappointment sana kuona blunders zinazofanywa na this gender.

Humo Telegram na WhatsApp pamejaa magroup ya watoto wa kike wadogo kiumri wanajiuza, wanafanya mapenzi kinyume, yani vitu vya ajabu.

Nowadays pamezuka clips ambazo zinaoenesha wanafunzi wakiwa kwenye sare wanafanya twerking kama wanafunzi wa South Africa.

Nilitamani sana kuwa na generation kama ya China. China ina watu sawa na bara nzima la Afrika lakini imewadhibiti wote wamenyooka.
Bora wa kike kuliko wa kiume shoga
Hakuna pankuponeani kuomba tu
 
Back
Top Bottom