Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaman siku hii uzuri wake nini?!! Hebu niambie nijiongezee furaha mie.
Naima mwezi wa february we wacha tu hasa siku hizo ndo mara nyingi huwa za wale walio zaliwa kupenda na kupendwa....tazama hapa chini list of valantine week list...Jaman siku hii uzuri wake nini?!! Hebu niambie nijiongezee furaha mie.
Naima mwezi wa february we wacha tu hasa siku hizo ndo mara nyingi huwa za wale walio zaliwa kupenda na kupendwa....tazama hapa chini list of valantine week list...
7th rose day
8th propose day
9th chocolate day
10 th teddy day
11 th promise day
12 th kiss day
13 th hug day
14 th velantine day
Naima shea basi hiyo furaha yako inatokana na nini!!
Lazima uone raha ndo mana february ikawa ni mwezi peke yake ulio kuwa hufiki siku 30 sababu ni mwezi wa romance.Waaaooooow.....jaman raaahaa. Lol!! Yani natamani nijibebe.
Naima mwezi wa february we wacha tu hasa siku hizo ndo mara nyingi huwa za wale walio zaliwa kupenda na kupendwa....tazama hapa chini list of valantine week list...
7th rose day
8th propose day
9th chocolate day
10 th teddy day
11 th promise day
12 th kiss day
13 th hug day
14 th velantine day
kiss day.. Nimeipenda!
Wapendwa...yani nashindwa hata nielezeje. Ni furaha na faraja iliyoje mliyonipatia leo. Yani nimefurahi na kufarijika saaanaa tena saaanaa...... Mungu awabariki na kuwalipa mbadala.