Nawapenda sana.

Nawapenda sana.

ni vizuri kufarahi. lakini kwenye lile tangazo lako ulinibania hadi nikahisi sina sifa za kuwa mwanaume. kwanini lakini jamani!?

Jamaaani....
 
Jaman siku hii uzuri wake nini?!! Hebu niambie nijiongezee furaha mie.
Naima mwezi wa february we wacha tu hasa siku hizo ndo mara nyingi huwa za wale walio zaliwa kupenda na kupendwa....tazama hapa chini list of valantine week list...
7th rose day
8th propose day
9th chocolate day
10 th teddy day
11 th promise day
12 th kiss day
13 th hug day
14 th velantine day
 
Waaaooooow.....jaman raaahaa. Lol!! Yani natamani nijibebe.
 
Naima shea basi hiyo furaha yako inatokana na nini!!
 
Naima shea basi hiyo furaha yako inatokana na nini!!

Uzima dada....kingine kuonyesha kwenu kujali. Namshukuru sana mola wangu kwa kunifikisha leo tena nikiwa na afya tele sambamba na hilo akanijalia marafiki,wadada,wakaka,wamama,wababa,wadogo,shangazi na wajomba kutoka jf wenye nyoyo nzuri,kujali na mapenzi ya dhati kwangu. Ahsante mungu.
 
Mambo ya bidhaa za Jang'ombe hayo ! Usifurahi ? Mchezo weka mbali !.
 
Waaaooooow.....jaman raaahaa. Lol!! Yani natamani nijibebe.
Lazima uone raha ndo mana february ikawa ni mwezi peke yake ulio kuwa hufiki siku 30 sababu ni mwezi wa romance.
 
Happy birthday, besti friend wangu nae mnashare tarehe moja ya kuzaliwa. Tumefurahi sana leo na kushukuru kufikia hapa alipo, ndiyo tunamaliza dompo turudi nyumbani. Life is Good kwakweli!
 
Naima si lazima sana uitomboke hapa furaha yako in front of pipo (weka kwa lafdhi ya Bukoba hicho kingereza)
Hata mie na JIFURAHA labda kupita lako, lakini nabunda nalo ! Dwiii ! Nimeokota LULU (Kito) Jf kimyakimya!
Bunju akili kichwani.
 
Hongera Naima, ingawa bado sijaelewa undani wa furaha yako. Hata hivyo, hayo uliyoyataja hapo juu#27 yanatosha kuwa sababu kubwa ya kufurahi siku zote.
HONGERA SANA.
 
Naima mwezi wa february we wacha tu hasa siku hizo ndo mara nyingi huwa za wale walio zaliwa kupenda na kupendwa....tazama hapa chini list of valantine week list...
7th rose day
8th propose day
9th chocolate day
10 th teddy day
11 th promise day
12 th kiss day
13 th hug day
14 th velantine day

kiss day.. Nimeipenda!
 
Wapendwa...yani nashindwa hata nielezeje. Ni furaha na faraja iliyoje mliyonipatia leo. Yani nimefurahi na kufarijika saaanaa tena saaanaa...... Mungu awabariki na kuwalipa mbadala.

Angalia Mungu asije akakupenda zaidi
 
Back
Top Bottom