Nawapenda sana.

Nawapenda sana.

YNNAH

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
1,702
Reaction score
972
Wapendwa...yani nashindwa hata nielezeje. Ni furaha na faraja iliyoje mliyonipatia leo. Yani nimefurahi na kufarijika saaanaa tena saaanaa...... Mungu awabariki na kuwalipa mbadala.
 
hata sisi tunakupenda sana....ni furaha gani hiyo wapwa wamekupatia...?..tushirikishe kidogo basi....
 
Mwaya hebu tupe habari njema.. Am so longing for good news.. Maana what a hectic day it has been for moi..
 
lile tangazo lilizaa matunda?? hongera na me nitatafuta siku za usoni.lol
 
Kisha pata mshikaji kumlisha mishikaki ya bure.
 
mi najua leo ni birthday yake
hayo mengine siyajui
 
hata sisi tunakupenda sana....ni furaha gani hiyo wapwa wamekupatia...?..tushirikishe kidogo basi....

Yan Preta we acha tu...yan furaha hadi sitamani kulala.
 
lile tangazo lilizaa matunda?? hongera na me nitatafuta siku za usoni.lol

Utatafuta siku za usoni au ndio message sent hapo...ha ha ha haaaa (jokes)
 
ni vizuri kufarahi. lakini kwenye lile tangazo lako ulinibania hadi nikahisi sina sifa za kuwa mwanaume. kwanini lakini jamani!?
 
Back
Top Bottom