Nawapiga chini marafiki wote wasiokuwa na tija kwangu

Ulifanya maamuzi sahihi mkuu
 
Kijana usipende sana furaha ya kuletewa, furaha yako itengeneze wewe mwenyewe. Si mbaya ukashare nayo hata kwa wengine pia.

Ila ukisema unataka marafiki, ndgu na wachumba wa kukupa furaha wewe unakosea maana hawakuja duniani kwa ajili yako bali kwa ajili yao na nafsi zao kama ilivyo kwako.

Jifurahishe mwenyewe.
 
Kweli mkuu, furaha ni kujipa mwenyewe
 
Hivi bado mnaishi Enzi za ujimaa au, mm tangu nipo form one mpaka Leo Sina rafiki na simu yangu phone book namba nimesave mbili tu ya baba na mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…