West standard
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 441
- 649
Tena usinikumbushe, waliosema kuwa uyaone walikua na maana pana sana.
Piga chini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Piga chini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa jmn cc tusio kuwa na Kaz tupunguzwe tuelekee wapi wkt maish Ni mzunguko tu mm nilikuwa na Kaz nnzur nikafukuzwa na nilikuwa nawalee wanna na kuwakopesha Sana Sasa HV mmezipata mnataka kutukimbiaa siyo poaa kaka rudisheni za kwetu mlizokula na wengine mpo huku hukuMshikaji gani nikikosa mwana nikipata unavunja
Nikizipata unataka ule nao ila zenu mnavunga
Sio mwanangu nishakudelete
Nishajua kuwa we snitch
Unamkuwadia dem wangu vipi?
Kigegu unakataa kulipa
Kama rafiki humwelewi, mpunguze
Kuropoka ropoka hachelewi, mpunguze
Ukimuona sio, mpunguze
Anapenda mademu wa wenzio, mpunguze
Anapenda bata hana kazi, mpunguze
Rafiki gani huyu dwanzi, mpunguze
Rafiki gani kwenye raha, mpunguze
Kwenye shida mbali anakaa, mpunguze
Well said.Yeyote anayekunyima furaha, piga chini.
Maisha haya ni mafupi, haijalishi utaishi miaka 100 au 200; bado tutasema maisha ni mafupi tu, ikiwa na maana hapa duniani tunapita.
Hakuna haja ya kuwa na ndugu, marafiki, wachumba n.k wasiojielewa, ambao wanakupa msongo wa mawazo muda wote, na kukunyima furaha katika maisha yako.
Anayekupa muda mwingi kuumiza kichwa huku ukimuwaza yeye tu, na kupoteza furaha uliyonayo; wakati mwingine anakuletea magonjwa ya moyo, kisukari n.k katika kumfikiria.
Huu ni muda muafaka wa kumpiga chini; na kuambatana na ndugu, jamaa, wachumba, marafiki wapya n.k watakao kupa furaha na kuona dunia ni sehemu sahihi ya kuishi.
Wakuu, naanza kupiga chini vibwengo wote....
kuna friend angu mmoja alikua anahitaji mtu anaeelekea mwenge at that timeNi bora kuwa na mtu mmoja mwenye tija, kuliko kuwa na list ndefu isiyokuwa na maana
Mkuu,hivi vibwengo ni nini?
Vibwengo ni vile vijini au vipepo vifupiii Kama kikombe cha kahawa na hii ni kwa mujibu wa kamusi ya kiswahili
Hee kumbe
Vijini na vipepo ni vya kupiga chini
Sasa vijini na vipepo vinaonekana?
Ndio vinaonekana ila unapaswa na ww kuwa jini au Kama sio jini basi uwe na pepo la utambuzi.
Nimecheka sana wakuu. 😄 Dah haya maswali na majibu yenu bana.Loh!🙆♀️
Kweli mkuuHakika, na kila la kheri, wapo pia wanaokupiga chini...