Nawapiga chini marafiki wote wasiokuwa na tija kwangu

Sasa jmn cc tusio kuwa na Kaz tupunguzwe tuelekee wapi wkt maish Ni mzunguko tu mm nilikuwa na Kaz nnzur nikafukuzwa na nilikuwa nawalee wanna na kuwakopesha Sana Sasa HV mmezipata mnataka kutukimbiaa siyo poaa kaka rudisheni za kwetu mlizokula na wengine mpo huku huku
 
Mimi nimefuta namba za hao wakuda juzi kama 37 hivi.Hawana maana kwangu
 
Well said.
 
Ni bora kuwa na mtu mmoja mwenye tija, kuliko kuwa na list ndefu isiyokuwa na maana
kuna friend angu mmoja alikua anahitaji mtu anaeelekea mwenge at that time

ana namba 500 za watu shockingly hamna hata mmoja alieenda au anaeza muassist waende there πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Same inaapply kwa that case bob
 
Mkuu,hivi vibwengo ni nini?

Vibwengo ni vile vijini au vipepo vifupiii Kama kikombe cha kahawa na hii ni kwa mujibu wa kamusi ya kiswahili

Hee kumbe
Vijini na vipepo ni vya kupiga chini

Sasa vijini na vipepo vinaonekana?

Ndio vinaonekana ila unapaswa na ww kuwa jini au Kama sio jini basi uwe na pepo la utambuzi.

Loh!πŸ™†β€β™€οΈ
Nimecheka sana wakuu. πŸ˜„ Dah haya maswali na majibu yenu bana.
Vibwengo ni vipepo fulani vya kutoka baharini. Umbo na miili sawa na ya binadamu, ila ni vifupi na vina akili kweli, alafu visumbufu mno. Huwa vinatokelezea usiku kuwasumbua na kuwatisha watu.

Ukipita sehemu vichakani au ukitoka nje usiku wa manane, alafu hewani kuwe kuna harufu ya wali mtamu hivi, ndio hao vibwengo. Wapo kwenye party zao, wakitembea unasikia sauti kama za kwato kwenye sakafu. Kibwengo huwa ana sura ya kutisha na muonekano wake huwa kama huu; πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…