Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Nimesikia kuwa benki kuu ya Tanxania imeanza utaratibu wa kununua na kuhifadhi dhahabu. Walianza mwaka jana na mpaka sasa wamenunua tani 2.6 kwa bilioni 570. Lengo lao ni kununua tani sita kila mwaka. Wanataka Tanzania iwe miongoni mwa nchi kumi za Afrika zenye akiba kubwa ya dhahabu. Kongole kwao.