Nawapongeza Diamond na Harmonize wameonesha weledi na ukomavu

KUNA KUNDI LA WATU HUWA MAISHA HAYAWAFUNZI HATA KAMA WAMEPITIA MAGUMU NA MAZURI KIASI GANI China na KondeBay wame tumia principle ya kutanza SIRI ya rafiki no matter what
 
Hiyo ni kweli kabisa, lakini ni kama alivyoimba Dulla Makabila kwamba "kuwa na bifu sio mbaya lakini sio na washamba!"

Bifu tamu Bongo ni kama lile la Wanaume na East Coast Team...

Kiumeni wanatoa Ndege Tunduni,

ECT wanatoa Piga Manati!
Sema dah, wana hapo juu wanajua kabisa wana ujauzito wa miezi 7, wanaenda kumpiga masinge mkunga!!

Kwa Kiba sasa... anapigwa dis kwenye ngoma,yeye anakimbilia Twitter kwamba anajua mtoa dis (Diamond) anamchukia!!

Youtube Views wakiadimika kwenye ngoma zake, lazima alie alie kwamba anafanyiwa kuna watu wamesimamisha views wake!

Wakati ule kaachia Seduce Me akasaidiwa na Mange na akavuna Views wa kutosha tena kwa kasi kasi!! Sasa sijui hao wanaomuhujumu Views kwenye video zake zingine wanamuogopa Mange na kwahiyo hawakumuhujumu kwenye Seduce Me!

Yeye akipata Views wa kutosha, sawa tu lakini wenzake wananunua views!!

Nilivyomuona kavu zaidi ni kwenye show yake ya Mombasa! Mic error inaweza kusababishwa na sababu kadhaa lakini ile siku mic yake imegoma kusikika gtu, hapo hapo akautangazia umma kwamba Sallam alichomoa waya!!!

Sasa bifu la ina hii ndo lile Makabila kaliita Bifu na Washamba!
 
Chibu na Konde wanasiri kubwa sana tena ya kibiashara haya mambo ya M500 propaganda tu!

Kwanini hujaiandika!!!!

Nilisoma mtandaoni kwamba Konde kwenye shares za Wasafi Radio na TV yumo, ana shares kubwa na mkewe ndani ya ile % kwenye jina la Chibu. Chibu 18% tu
 
He never stopped... He never hot enough... Weird phenomenon....!!!
nimesoma hii comment mpaka nikamkumbuka michael jackson na wimbo wake wa don't stop till you get enough r.i.p mother f**k mj
 
Kwanini hujaiandika!!!!

Nilisoma mtandaoni kwamba Konde kwenye shares za Wasafi Radio na TV yumo, ana shares kubwa na mkewe ndani ya ile % kwenye jina la Chibu. Chibu 18% tu
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Chibu na Konde wanasiri kubwa sana tena ya kibiashara haya mambo ya M500 propaganda tu!
 
Kwanini hujaiandika!!!!

Nilisoma mtandaoni kwamba Konde kwenye shares za Wasafi Radio na TV yumo, ana shares kubwa na mkewe ndani ya ile % kwenye jina la Chibu. Chibu 18% tu
Msitulishe masalu ya nyanya za ilula.
Diamond Huyu huyu akubali kondeboy na mkewe wamzidi share kwenye umiliki wa kampuni?
Labda zile 2% ambazo hazijulikani ni za nani,
Maana ni 53% then chibu 45% na unknown 2%.
 
Ed Sheeran ana bifu na nani?!
 
Msitulishe masalu ya nyanya za ilula.
Diamond Huyu huyu akubali kondeboy na mkewe wamzidi share kwenye umiliki wa kampuni?
Labda zile 2% ambazo hazijulikani ni za nani,
Maana ni 53% then chibu 45% na unknown 2%.

Na kuna wengine pia ndani ya hiyo uliyoandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…