Louis II
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 3,030
- 4,647
Pumba, pumbani.Safi sana wote Mondi na Konde boy ni pro Magufuli.
Mungu awabariki sana Mondi na Konde kwa kuwa upande wa Raisi Magufuli!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pumba, pumbani.Safi sana wote Mondi na Konde boy ni pro Magufuli.
Mungu awabariki sana Mondi na Konde kwa kuwa upande wa Raisi Magufuli!
Jesus😂😂😂😂[emoji13][emoji13][emoji23][emoji116]
Punguani... Wahed... [emoji23][emoji23][emoji23]
Chutama ndugu upo mtupu.Safi sana wote Mondi na Konde boy ni pro Magufuli.
Mungu awabariki sana Mondi na Konde kwa kuwa upande wa Raisi Magufuli!
KUNA KUNDI LA WATU HUWA MAISHA HAYAWAFUNZI HATA KAMA WAMEPITIA MAGUMU NA MAZURI KIASI GANI China na KondeBay wame tumia principle ya kutanza SIRI ya rafiki no matter whatNadhani kuna siri kati ya wawili hawa... Diamond na Harmonize... Lakini hata kama ni siri lakini wameonesha ukomavu mkubwa kwenye mahojiano yao na media za bongo
Media za kimbeambea na chonganishi sasa inabidi zijipange kweli linapokuja suala la kiwahoji hawa vijana wawili.... Ona majibu ya Diamond
Diamond pia alizungumzia kuhusu Harmonize ambaye ametangaza kujiondoa kampuni ya WCB, “Nimempush Harmonize kufika hapo alipo, nafikiri sasa ni wakati sahihi wengine kuwasapoti, tamanio letu ni kuona tunafanikiwa, naomba watu wamsapoti lengo letu ni kusapoti vijana.”
Jana katika mahojiano hayo Diamond amesema, “nilibahatika kuona post kama watu wengine, na sikujua alilenga kitu gani, lakini Alikiba ni kaka yangu amenizidi umri alianza muziki kabla yangu.”
“Kwenye muziki kuna mambo ya ukitoa wimbo ni kama Simba na Yanga (timu za soka zenye upinzani nchini Tanzania) lakini haiwezi kutia chuki kati yangu na yeye,” amesema Diamond.
Hivi karibuni Harmonize pia alijohiwa na clouds.. Na ni wazi alichomekewa maswali mengi ya wazi na ya mtego ili amkandie Diamond.... Lakini kamwe hakufanya hivyo... Mwishowe aibu ikarudi kwa waandishi...
Hawa waandishi wetu ni lazima watambue kuwa zama zimebadilika. Hizi si zama za akina Hadija Kopa na Nasma Khamisi au Zay B na Sister P. Bifu mpaka mitaani na matusi ya nguoni juu.
Bado kuna shida kidogo kwa Alikiba lakini yeye kwasasa sio habaro tena. Media za bongo sana ni Mondi na Konde boy. Nao wamejua na kujitambua nini kilichopo mbele yao. Wote wanaojaribu kuwachonganisha ni kapuku wasio na mbele wala nyuma.
Ni funzo zuri toka kwa watoto
Kwa hiyo kwa sasa wameacha kutafuta pesa ?baada ya kupiga pesa kwanza ndo wakamalizana
oraiti seDon't stop till you get enough
Hiyo ni kweli kabisa, lakini ni kama alivyoimba Dulla Makabila kwamba "kuwa na bifu sio mbaya lakini sio na washamba!"Bifu ndo hukuza biashara ya muziki popote duniani,na ili bifu itokee lazma kuwepo na uchonganishi ambao ndo sababu ya kuzaliwa au kuendeleza bifu..lkn ktk bifu kila pande inatakiwa kujipanga vilivyo ili mmoja wao asiweze kupotezwa kimbinu na mpnzan wake..akitokea mmoja kashinda bas huyo lazma atafute bifu na mtu wa level yake kwa wakati huo..hii ipo ktk soko la muziki mahali pengi dunian
Bifu hukuza muziki,bifu hukuza biashara pia,bila bifu huwezi jua diamond angekuwa wap leo,alikubali bifu na kuhamishia ktk biashara,amefanikiwa kwa kias kikubwa sasa anarudi na mbinu nyingne..so acha bifu zitafutwe na ziendelee kuwepo
nimesoma hii comment mpaka nikamkumbuka michael jackson na wimbo wake wa don't stop till you get enough r.i.p mother f**k mjDon't stop till you get enough
Chibu na Konde wanasiri kubwa sana tena ya kibiashara haya mambo ya M500 propaganda tu!Bosi lazima aliamua muda ufike mmoja awe huku na mwingine kule. Mengine ni drama za biashara
Chibu na Konde wanasiri kubwa sana tena ya kibiashara haya mambo ya M500 propaganda tu!
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Kwanini hujaiandika!!!!
Nilisoma mtandaoni kwamba Konde kwenye shares za Wasafi Radio na TV yumo, ana shares kubwa na mkewe ndani ya ile % kwenye jina la Chibu. Chibu 18% tu
Chibu na Konde wanasiri kubwa sana tena ya kibiashara haya mambo ya M500 propaganda tu!
Msitulishe masalu ya nyanya za ilula.Kwanini hujaiandika!!!!
Nilisoma mtandaoni kwamba Konde kwenye shares za Wasafi Radio na TV yumo, ana shares kubwa na mkewe ndani ya ile % kwenye jina la Chibu. Chibu 18% tu
Ed Sheeran ana bifu na nani?!Bifu ndo hukuza biashara ya muziki popote duniani,na ili bifu itokee lazma kuwepo na uchonganishi ambao ndo sababu ya kuzaliwa au kuendeleza bifu..lkn ktk bifu kila pande inatakiwa kujipanga vilivyo ili mmoja wao asiweze kupotezwa kimbinu na mpnzan wake..akitokea mmoja kashinda bas huyo lazma atafute bifu na mtu wa level yake kwa wakati huo..hii ipo ktk soko la muziki mahali pengi dunian
Bifu hukuza muziki,bifu hukuza biashara pia,bila bifu huwezi jua diamond angekuwa wap leo,alikubali bifu na kuhamishia ktk biashara,amefanikiwa kwa kias kikubwa sasa anarudi na mbinu nyingne..so acha bifu zitafutwe na ziendelee kuwepo
Msitulishe masalu ya nyanya za ilula.
Diamond Huyu huyu akubali kondeboy na mkewe wamzidi share kwenye umiliki wa kampuni?
Labda zile 2% ambazo hazijulikani ni za nani,
Maana ni 53% then chibu 45% na unknown 2%.
Huyu jamaa mbona amekonda sn