ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Wiki iliyopita nilitoka nyumbani Ngara hadi Mwanza nikiwa nataka Kulala nikakuta bus la saa 9 mchana kwenda Dar, nikafika Dar saa 2 asubuhi, aisee nilifurahi mno.
Zamani tulikuwa tunafika dar usiku wa manane na kuanza kusumbuka na usafiri na sehemu za Kulala , kisumbuliwa na wezi na kuibiwa kabisa.
Siku hizi hakuna gharama za ziada za safari maana usafiri upo muda wote