Nawapongeza LATRA na SUMATRA kwa kuruhusu mabasi kusafiri saa 24

Nawapongeza LATRA na SUMATRA kwa kuruhusu mabasi kusafiri saa 24

Mabus usafiri usiku kwa sababu technology imewalaza njaa majambazi hata ukiteka bus utaambulia buku tu.
Watu hawatembei na cash nyingi kama zamani na ukijiroga ukabeba simu za abiria ushakamatwa.
Thus safari ni salama siku hizi hakuna utekaji.
Hata mkiteka bus laki saba hampati mpo majambazi nane.
Watu hawabebi cash siku hizi
 
Guest na loji za stand zimedoda siku hizi zamani ubungo ikifika saa mbili usiku upati room.
Siku hizi wafanyabiashara wanalala kwenye bus akifika anafanya shopping jioni anarudi mkoa kulala kwake
 
You're right! Fikiria pale stendi Mbezi au Ubungo zamani yanaachiwa magari 120 at per! Lazima uwendawazimu uwepo kwa baadhi ya madereva hence ajali! But nowadays, kila gari huondoka kwa ratiba yake lenyewe.
Miaka hiyo ilikua ni chaotic pale Ubungo, honi kama zote wakati wa kutoka asubuhi.

Halafu utapeli ulikua nje nje, uvutwa vutwa na wapiga debe, wanakupeleka kwenye gari bovu hata mkilala njiani yeye haimhusu.

Miaka hiyo ukikosa gari asubuhi hadi kesho yake, halafu magari hayakua na ofisi za kueleweka.

Tulichelewa sana kuruhusu huu ustaarabu.
 
Imagine ungetakiwa uondoke kesho yake alfajiri pasingekuwepo na usafiri wa 24 hrs.

Tukiachana na risks mbalimbali kwenye usafiri, ila huu wa muda wote ni muhimu sana.
Ningeondoka hiyo kesho asubuhi, kwanza ningefika Dar karibu saa 4 usiku
 
BM Coach Ina magari mabovu sana, safari za usiku na gari za BM Coach ni aibu magari mabovu
 
Hata wapiga debe waliokuwa wanasumbua standi wamepungua sana
 
Nadhani SUMATRA ilivunjwa ikazaliwa LATRA na TASAC
Latra= Nchi kavu
TASAC= Majini
You're right! LATRA - usafiri wa barabara na reli; TASAC - marine; anga - hawa wana regulatory bodies za kutosha.
 
Back
Top Bottom