Sifa ziende kwa AFANDE KANGI LUGOLA na Mwamba wa CHATO JPM vichwa vilivyokutana SENGEREMA SEC.Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Wiki iliyopita nilitoka nyumbani Ngara hadi Mwanza nikiwa nataka Kulala nikakuta bus la saa 9 mchana kwenda Dar, nikafika Dar saa 2 asbh, aisee nilifurahi mno.
Zamani tulikuwa tunafika dar usiku wa manane na kuanza kusumbuka na usafiri na sehemu za Kulala , kisumbuliwa na wezi na kuibiwa kabisa.
Siku hizi hakuna gharama za ziada za safari maana usafiri upo muda wote
Edit tittle yako. SUMATRA wanahusika vipi na mabasi?Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Wiki iliyopita nilitoka nyumbani Ngara hadi Mwanza nikiwa nataka Kulala nikakuta bus la saa 9 mchana kwenda Dar, nikafika Dar saa 2 asbh, aisee nilifurahi mno.
Zamani tulikuwa tunafika dar usiku wa manane na kuanza kusumbuka na usafiri na sehemu za Kulala , kisumbuliwa na wezi na kuibiwa kabisa.
Siku hizi hakuna gharama za ziada za safari maana usafiri upo muda wote
Kusafiri usiku ni kurisk maisha yako kwa miundo mbinu yetu hii mibovu na madereva wasio pata hata muda wa kupumzika kujikuta kwenye korongo n dk 0 bwana mdogoMnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Wiki iliyopita nilitoka nyumbani Ngara hadi Mwanza nikiwa nataka Kulala nikakuta bus la saa 9 mchana kwenda Dar, nikafika Dar saa 2 asbh, aisee nilifurahi mno.
Zamani tulikuwa tunafika dar usiku wa manane na kuanza kusumbuka na usafiri na sehemu za Kulala , kisumbuliwa na wezi na kuibiwa kabisa.
Siku hizi hakuna gharama za ziada za safari maana usafiri upo muda wote
Life is all about risks.. ukiona mwanaume anahofia kurisk jua kuna shida mahaliKusafiri usiku ni kurisk maisha yako kwa miundo mbinu yetu hii mibovu na madereva wasio pata hata muda wa kupumzika kujikuta kwenye korongo n dk 0 bwana mdogo
Na LATRA?SUMATRA ni mamlaka ya usafiri wa majini na nchi kavu
Ajali inatokea muda wowote, iwe usiku au mchana ajali inatokea likubwa ni kuchukua tahadhari zote tuKusafiri usiku ni kurisk maisha yako kwa miundo mbinu yetu hii mibovu na madereva wasio pata hata muda wa kupumzika kujikuta kwenye korongo n dk 0 bwana mdogo
SUMATRA =LATRANa LATRA?
Hapo sasa ushajua wahusika ni nani, LATRA ndio wahusika wa usafiri wa Ardhini.Udhibibiti wa usafiri ardhini