Nawapongeza mashehe na waislam (sio BAKWATA) Kwa kupinga upuuzi wa Ramadan Cup

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Mashehe wenye ilimu na Imani ya kweli wasio wanafiki walitoka hadharani kupinga upuuzi wa Ramadan Cup

Mashehe hao waliona sio sawa matukio ya kiheshima kama mwezi mtukufu kuwa kama platform ya kisiasa,
Haya ndo mambo sisi wakatoliki tunapenda na hakika msimamo huu wa mashehe unaenda kurudisha heshima ya uislam

Naona Kwa Sasa Yale mashindano yaliyokuwa yakiitwa Ramadan Cup Sasa yanaitwa Samia cup

Kudos mashed wetu

Ramadan Mubarak
 
Waislamu likija suala la Imani yao hawana utani, kama watu wengine wanao chezewa na siasa kwa kutuhumu viongozi wao.
 
Uko sahihi ndo maana huwa nawakubali waislam Kwa misimamo na uwazi wao.
Lakini sio hao ubwabwa wa BAKWATA
 
Bakwata na CCM tofauti ni majina ila kwa uhalisia ni kitu kile kile, Nyerere hakua na nia nzuru kuhusu waislamu, mbona hilo hakulifanya kwa madhehebu mengine.
Mimi nawapenda waislam kama wewe wanaijua misingi ya dini yao na kusema ukweli.
Sio wale waislam wanaosifia mauaji ya watu Kwa kupinga haki na kujificha kwenye amani
Ati wanamtetea Rais wa Sasa kwakuwa ni muislam mwenzao
 
Waislamu likija suala la Imani yao hawana utani, kama watu wengine wanao chezewa na siasa kwa kutuhumu viongozi wao.
Wangekua hawana utani kwenye suala la imani.

Wasingekubali kutawaliwa na mwanamke maana imekatazwa kwenye vitabu vyao.
1771912323982.jpg
 
Hahaha yaan kwamba msikiti unaongozwa na Imamu Mwanamke anawaswalisha na kupiga azana na kutia na kutoa mawaidha mbele ya hadhara, wangekubari?
Duuuuh
 
Ramadhani Cup ni upuuzi watu wanachezewa maisha yao bila ya kujijua
Halafu hpa sasa ndo utawakuta wale waislamu jina wao wanaona sawa tu
 
Waislam wa BAKWATA
 
Wangekua hawana utani kwenye suala la imani.

Wasingekubali kutawaliwa na mwanamke maana imekatazwa kwenye vitabu vyao.View attachment 3547863
Kwani Tanzania ni nchi ya kiislamu ili wapange Raisi wao wenyewe, ingekua hivo wangekata hata wale maraisi wasio waislamu, kwasbb Imani inakata kutotawaliwa na wa Dini nyingine
 
Back
Top Bottom