Waislamu likija suala la Imani yao hawana utani, kama watu wengine wanao chezewa na siasa kwa kutuhumu viongozi wao.Mashehe wenye ilimu na Imani ya kweli wasio wanafiki walitoka hadharani kupinga upuuzi wa Ramadan Cup
Mashehe hao waliona sio sawa matukio ya kiheshima kama mwezi mtukufu kuwa kama platform ya kisiasa,
Haya ndo mambo sisi wakatoliki tunapenda na hakika msimamo huu wa mashehe unaenda kurudisha heshima ya uislam
Naona Kwa Sasa Yale mashindano yaliyokuwa yakiitwa Ramadan Cup Sasa yanaitwa Samia cup
Kudos mashed wetu
Ramadan Mubarak
Bakwata na CCM tofauti ni majina ila kwa uhalisia ni kitu kile kile, Nyerere hakua na nia nzuru kuhusu waislamu, mbona hilo hakulifanya kwa madhehebu mengine.Uko sahihi ndo maana huwa nawakubali waislam Kwa misimamo na uwazi wao.
Lakini sio hao ubwabwa wa BAKWATA
Mimi nawapenda waislam kama wewe wanaijua misingi ya dini yao na kusema ukweli.Bakwata na CCM tofauti ni majina ila kwa uhalisia ni kitu kile kile, Nyerere hakua na nia nzuru kuhusu waislamu, mbona hilo hakulifanya kwa madhehebu mengine.
wanapenda ubwabwa wenye nyama nyiingiiiiiBAKWATA wao ukiwapa ubwabwa na tende basiii
Wangekua hawana utani kwenye suala la imani.Waislamu likija suala la Imani yao hawana utani, kama watu wengine wanao chezewa na siasa kwa kutuhumu viongozi wao.
Hahaha yaan kwamba msikiti unaongozwa na Imamu Mwanamke anawaswalisha na kupiga azana na kutia na kutoa mawaidha mbele ya hadhara, wangekubari?Wangekua hawana utani kwenye suala la imani.
Wasingekubali kutawaliwa na mwanamke maana imekatazwa kwenye vitabu vyao.
Kwani Tanzania ni nchi ya kiislamu ili wapange Raisi wao wenyewe, ingekua hivo wangekata hata wale maraisi wasio waislamu, kwasbb Imani inakata kutotawaliwa na wa Dini nyingineWangekua hawana utani kwenye suala la imani.
Wasingekubali kutawaliwa na mwanamke maana imekatazwa kwenye vitabu vyao.View attachment 3547863