Utaratibu huu wa polisi wa kumuita mtu kwa kumpigia simu au barua afike kituo cha polisi ni utaratibu mzuri sana kwani unalinda staha na heshima ya mtuhumiwa. Na ni utaratibu wa kistaarabu sana. It is a civilized form of summoning the accused person.
Katika hili nawapongeza sana polisi. Mambo ya kukamatana watu kwa nguvu yatumike ktk mazingira unique au scenario fulani tu.
Watu wengi wamestarabika wako tayari kutii sheria bila shuruti. Polisi big up!!!