Ni kweli mkuu mpira unadunda ila wale Ecuador wakikutana na ile Senegal inayokimbiza mpira dakika 90 sioni kama wataweza kuzuia kufungwa.Mane hawez kucheza kabisa, pia usiwa underestimate Ecuador, kumbuka Senegal Haina kiungo mnyumbulifu hata mmoja ,wote wakabaji ,
Kesho Senegal asipopata matokeo ,usishangae akakukatana na mechi ngumu dhidi ya Ecuador ambaye atahitaji sare tu
Mpira una maajabu yake usikariri, Germany alifungwa na south Korea hakuna alie amini.Baada ya kuwaona Ecuador na Qatar wakicheza hivi leo, ninaona Senegal tayari ameshapata point sita kutoka hizi timu mbili.
Mane asihangaike na makundi, asubirie kupona vizuri ili acheze mechi ya mtoano. Ninaamini Senegal atapata sare na Uholanzi ambaye pia yupo kundi hilo.
Hawa Ecuador usiwachukulie poa Kaka, naona ni kama waliamua kurelax baada ya kuona mpinzani wao ni dhaifu Sana, anyway in football anything can happen, ngoja tuone nini kitatokea Ila hata Mimi nawapa nafasi Senegal kufuzu, All the best to them..Ni kweli mkuu mpira unadunda ila wale Ecuador wakikutana na ile Senegal inayokimbiza mpira dakika 90 sioni kama wataweza kuzuia kufungwa.
Wachezaji wao sijaona uspecial wowote hata sijui wamefuzu vipi halafu Chile akashindwa. Senegal akienda kucheza mpira wa kasi atashinda kirahisi.
Hata kama Senegal atafungwa kesho na Uholanzi bado ana mechi na qatar na Ecuador, lazima atafuzu.
Tutajie timu zitakazo fika Robo fainali awo Senegal wako unaona wamaana unakumbuka mwaka 2018 kiliwatokea nin na unakumbuka walikua kundi moja na nani ok kama umesahau nakukmbusha Senegal alikua kundi moja na Japan ,Colombia,na Poland kaangalie marudio ya mechi ya Japan na Senegal kilichotokea utakuja mwenyewe apa kucha kuwapa sifa za kijinga jingaUholanzi sina mashaka, watafuzu kwenye makundi japo hawatavuka robo fainali. Kesho pia wanaweza kumfunga Senegal ila wao Senegal watafuzu kwa kuwafunga qatar na ecuador.
Watoto wa shule awa acha nao wazungu wezao hawatamani kuwa kundi moja na Netherlands wao wanakuja kuwaleta mzaza tu embu tuwakumbushe wakatazame marudio ya mechi ya 16 Bora mwaka 2014 kati ya Netherlands na mexico Kuna kitu watajifunzaKundi gumu Ecuador kufika walipo sio Timu nyepesi wamemfunga Colombia 6
Hawajaruhusu goli kwanzia mwezi wa 6
Halafu hao uholanzi unawachukuliaje?
Sisemi Ecuador ni wabovu ila sikumbuki kamfunga lini colombia hizo 6 labda nyuma huko.Kundi gumu Ecuador kufika walipo sio Timu nyepesi wamemfunga Colombia 6
Hawajaruhusu goli kwanzia mwezi wa 6
Halafu hao uholanzi unawachukuliaje?
Senegal ilipotea tangu miaka ile ya 2002 imekuja kurudi mwaka juzi hapa hivyo usifananishe namna hiyo. Kwa sasa wanaweza kufika mbali sana ikiwemo kumfunga hata huyo Uholanzi kesho.Tutajie timu zitakazo fika Robo fainali awo Senegal wako unaona wamaana unakumbuka mwaka 2018 kiliwatokea nin na unakumbuka walikua kundi moja na nani ok kama umesahau nakukmbusha Senegal alikua kundi moja na Japan ,Colombia,na Poland kaangalie marudio ya mechi ya Japan na Senegal kilichotokea utakuja mwenyewe apa kucha kuwapa sifa za kijinga jinga
Labda hujawahi kuwaona Senegal katika miaka ya karibuni. Ni timu iliyopikwa ikapikika. Anaweza hata kufika nusu fainali. Mpira mzuri sana wanaenda kuionesha dunia.Nyinyi mnaongelea Ecuador? Mimi sitashangaa kama Quatar wakimfunga Senegal. Team za Africa bado sana kuzipa dhamana huko duniani.
Endeleeni kuendekeza mapenzi, Senegal atawavunja moyo mpaka muichukie Africa nzima!
Kwa uholanzi labda sare ya shuleBaada ya kuwaona Ecuador na Qatar wakicheza hivi leo, ninaona Senegal tayari ameshapata point sita kutoka hizi timu mbili.
Mane asihangaike na makundi, asubirie kupona vizuri ili acheze mechi ya mtoano. Ninaamini Senegal atapata sare na Uholanzi ambaye pia yupo kundi hilo.
Hujui mupiraBaada ya kuwaona Ecuador na Qatar wakicheza hivi leo, ninaona Senegal tayari ameshapata point sita kutoka hizi timu mbili.
Mane asihangaike na makundi, asubirie kupona vizuri ili acheze mechi ya mtoano. Ninaamini Senegal atapata sare na Uholanzi ambaye pia yupo kundi hilo.
Hajui kitu inaitwa total footballKama hujawah bahatka kuwaona Netherlands wakicheza mechi za kombe la Dunia jitaidi ukatazame marudio afu Rudi tena apa nazani hufahamu kitu kinaitwa Holland football