Nawapongeza Senegal kwa Kufuzu Hatua ya 16 bora Kombe la Dunia 2022

Nawapongeza Senegal kwa Kufuzu Hatua ya 16 bora Kombe la Dunia 2022

Senegal hawezi Kufunga ecuador labda Sare, atakuwa na point 4 baada ya Kufunga qatar
Tusubirie siku ya mechi. Jana waliingia kutafuta sare ndio maana walikuwa wanapoozeaha mchezo.
 
Hata hao uholanzi ni weupe tu. Niliicheki gem Yao na Senegal Wala sio wa kutosha kivile. Robo wanaweza kuisaka kwa tochi
 
Safi sana Senegal, hili nililiona mapema.
 
Baada ya kuwaona Ecuador na Qatar wakicheza hivi leo, ninaona Senegal tayari ameshapata point sita kutoka hizi timu mbili.

Mane asihangaike na makundi, asubirie kupona vizuri ili acheze mechi ya mtoano. Ninaamini Senegal atapata sare na Uholanzi ambaye pia yupo kundi hilo.
Mane ni majeruhi hadi kombe liishe
 
Nyinyi mnaongelea Ecuador? Mimi sitashangaa kama Quatar wakimfunga Senegal. Team za Africa bado sana kuzipa dhamana huko duniani.

Endeleeni kuendekeza mapenzi, Senegal atawavunja moyo mpaka muichukie Africa nzima!
Upupu
 
Back
Top Bottom