avogadro
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 8,082
- 14,457
Hakuna kitu hapo watakula kichapo Cha mbwakokoBaada ya kuwaona Ecuador na Qatar wakicheza hivi leo, ninaona Senegal tayari ameshapata point sita kutoka hizi timu mbili.
Mane asihangaike na makundi, asubirie kupona vizuri ili acheze mechi ya mtoano. Ninaamini Senegal atapata sare na Uholanzi ambaye pia yupo kundi hilo.