Hakuna kitu hapo watakula kichapo Cha mbwakokoBaada ya kuwaona Ecuador na Qatar wakicheza hivi leo, ninaona Senegal tayari ameshapata point sita kutoka hizi timu mbili.
Mane asihangaike na makundi, asubirie kupona vizuri ili acheze mechi ya mtoano. Ninaamini Senegal atapata sare na Uholanzi ambaye pia yupo kundi hilo.
Senegal ataambulia point za wa-Qatar tu, kwa jinsi navyowaona Ecuador si wa mchezo mchezo wana kupokea kwa namna utakavyokujaBaada ya kuwaona Ecuador na Qatar wakicheza hivi leo, ninaona Senegal tayari ameshapata point sita kutoka hizi timu mbili.
Mane asihangaike na makundi, asubirie kupona vizuri ili acheze mechi ya mtoano. Ninaamini Senegal atapata sare na Uholanzi ambaye pia yupo kundi hilo.
Unaota weweBreki ya Senegal ni nusu fainali huko.
Acha mikwara mbuziKama hujawah bahatka kuwaona Netherlands wakicheza mechi za kombe la Dunia jitaidi ukatazame marudio afu Rudi tena apa nazani hufahamu kitu kinaitwa Holland football
Unawadharau ecuador ndugu... Ngja ushangazwe hapa.. ecuador wako vizur sana. Senegali itawabid wakaze sana kupta ushindi.Baada ya kuwaona Ecuador na Qatar wakicheza hivi leo, ninaona Senegal tayari ameshapata point sita kutoka hizi timu mbili.
Mane asihangaike na makundi, asubirie kupona vizuri ili acheze mechi ya mtoano. Ninaamini Senegal atapata sare na Uholanzi ambaye pia yupo kundi hilo.
Hakika mtoa mada nadhan anachukulia poa Ecuador hao Senegal waje kwa heshima, kwa sbb Ecuador anaona kbs Akitak kufuzu na yy lzm aende mguu kwa mguu na Senegal zaid kuliko Netherlands kwhy kusema ukwl na injury ya Mane napata wkt mgum sana kuamin Senegal hata makundi itapita lkn tusbr tuone mpr kila ki2 kinawezekana.Unawadharau ecuador ndugu... Ngja ushangazwe hapa.. ecuador wako vizur sana. Senegali itawabid wakaze sana kupta ushindi.
Unamfahamu hata mchezaji mmoja wa uholanziAcha mikwara mbuzi
Mane hawez kucheza kabisa, pia usiwa underestimate Ecuador, kumbuka Senegal Haina kiungo mnyumbulifu hata mmoja ,wote wakabaji ,
Kesho Senegal asipopata matokeo ,usishangae akakukatana na mechi ngumu dhidi ya Ecuador ambaye atahitaji sare tu
Senegal ajitahid ashinde mechi ya leo, ecuador wapo vzr sn yn atarajie upinzani haswaMane hawez kucheza kabisa, pia usiwa underestimate Ecuador, kumbuka Senegal Haina kiungo mnyumbulifu hata mmoja ,wote wakabaji ,
Kesho Senegal asipopata matokeo ,usishangae akakukatana na mechi ngumu dhidi ya Ecuador ambaye atahitaji sare tu
Ninaamini kocha Cisse anatambua umuhimu wa kushinda mechi ya Ecuador hivyo lazima itakuwa na ushindani mkubwa.Hakika mtoa mada nadhan anachukulia poa Ecuador hao Senegal waje kwa heshima, kwa sbb Ecuador anaona kbs Akitak kufuzu na yy lzm aende mguu kwa mguu na Senegal zaid kuliko Netherlands kwhy kusema ukwl na injury ya Mane napata wkt mgum sana kuamin Senegal hata makundi itapita lkn tusbr tuone mpr kila ki2 kinawezekana.
Daaah! Kwahiyo tayari
Senegal hawezi Kufunga ecuador labda Sare, atakuwa na point 4 baada ya Kufunga qatarJana nilisema hata kama tutapoteza leo ushindi wetu ni kwa Ecuador na Qatar.