Nawapongeza Senegal kwa Kufuzu Hatua ya 16 bora Kombe la Dunia 2022

Senegal hawezi Kufunga ecuador labda Sare, atakuwa na point 4 baada ya Kufunga qatar
Tusubirie siku ya mechi. Jana waliingia kutafuta sare ndio maana walikuwa wanapoozeaha mchezo.
 
Hata hao uholanzi ni weupe tu. Niliicheki gem Yao na Senegal Wala sio wa kutosha kivile. Robo wanaweza kuisaka kwa tochi
 
Safi sana Senegal, hili nililiona mapema.
 
Mane ni majeruhi hadi kombe liishe
 
Nyinyi mnaongelea Ecuador? Mimi sitashangaa kama Quatar wakimfunga Senegal. Team za Africa bado sana kuzipa dhamana huko duniani.

Endeleeni kuendekeza mapenzi, Senegal atawavunja moyo mpaka muichukie Africa nzima!
Upupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…